Top Tweets for #TASAC
bi zamanlar böyle şeylerimiz vardı.... öyle işte

@LadyG293536 Don't forget how she destroyed evidence and lied to protect Sevcan. Adil is the only one in Eleni life who has always been honest and true #Tasac
Biz de shipledik 👉👉
#tasac
Haha our gentle giant 🤣 #Tasac
Ulaş’ın gördüğü / Benim gördüğüm

#TANZANIA: BODI YA TASAC YAITABIRIA MAKUBWA BANDARI YA MBAMBA BAY RUVUMA
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (#TASAC) imesema kuwa Bandari ya Mbamba Bay katika Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma ni muhinu katika maendeleo ya kiuchumi nchini.
Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC Nahodha Mussa Mandia amesema kuwa serikali imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 80 ambapo ujenzi wa Bandari hiyo unatarajiwa kukamilika 2026, utazinufaisha nchi za Malawi, Zambia pamoja na Msumbiji katika usafirishaji wa mizigo ya Makaa ya mawe pamoja na mazao katika mikoa inayoizunguka ziwa hilo.
Nahodha Mandia amesema bandari hiyo zamani ilikuwa na changamoto ya Barabara lakini kwa sasa suala hilo serikali ilishakamilisha kwa asilimia 100.
Naye Mhandisi Mkuu Bandari za Ziwa Nyasa, Fabian Paul amesema kuwa ujenzi huo umefikia zaidi ya asilimia tisa na kufikia hapo kulitokana kuchelewa kwa vifaa.
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri amesema bandari hiyo inafungua milango kwa wawekezaji wa sekta mbalimbali huku wananchi wa Wilaya ya Nyasa wakiamini kuwa kukamilika kwa bandari hiyo kwao ni fursa.
Konseli Mkuu, Jacob Msekwa ameshiriki katika kikao cha pamoja na wadau wa #DRC wanaotumia bandari za #Tanzania kilichofanyika #Lubumbashi chini ya uratibu wa #TASAC na #TPA kwa ajili ya kujadili mikakati ya uboreshaji wa huduma za bandari na bandari kavu kwa wateja wa DRC.

Mamlaka ya usafiri majini #TASAC kwanini wanashindwa kudhibiti viwango vya nauli?
Nauli zinapandishwa kiholela mno, nauli ni 35,000 lakini baada ya muda wanapandisha zinauzwa elfu 40.
Hii maana yake nini?
UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (#TASAC)
Salum anachukua nafasi ya Kaimu Abdi Mkeyenge aliyeteuliwa
kuwa Mkurugenzi Mendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)
Awali, Salum alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Uchukuzi.
Soma https://t.co/Qgys8qRQTL
#JamiiForums #Governance #Accountability

Rais Samia amemteua Kaimu A. Mkeyenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo akichukua nafasi ya Dkt. Elirehema Doriye atakayepangiwa kazi nyingine
Kabla ya uteuzi Mkeyenge alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (#TASAC)
Zaidi soma https://t.co/3eIJ5STKHh
#JamiiForums #Governance #Accountability

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya 2021/22 inaonesha Mwaka 2021, #TASAC ilifanya ukaguzi wa Kivuko cha #MVPangani na kubaini kimekuwa kikifanya kazi bila cheti cha kuthibitisha Usalama Baharini, huku Mabaharia wake wakiwa hawana Elimu ya Ubaharia
Pia, Jenereta mbili zilizokuwemo kwenye kivuko hazikuwa zikizalisha Umeme wa kutosha kuendesha Injini za propela za Azimuth na Magati mawili ya kushukia na kuegesha Kivuko yanafanya kazi kwa kutegemea nguvu kazi za Mikono na sio Umeme
Hata hivyo, ukaguzi wa #CAG wa 2021/22 ulibaini Kivuko hicho bado kilikuwa kikiendelea kufanya kazi licha ya mapungufu yaliyobainishwa. Hivyo, #TEMESA haikuwa imechukua hatua yoyote kushughulikia udhaifu wa uendeshaji wa MV. Pangani ulioripotiwa na TASAC
Soma https://t.co/DLMwYXgUwT
#JamiiForums #RipotiYaUwajibikaji #UwajibikajiTaasisiZaUmma #UsimamiziTaasisi #JFUwajibikaji23

@TaffaOrg President @edwardurio and @TRATanzania Director of Taxpayer Education will be live on Clouds FM #POWERBreakfast April 4, 2021 from 6am to 10am
Don't miss it!
#TeSWS #TASAC #Tanzania #bandari

Just posted a photo @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/6cMNjXHIDr
@S_Mrisho @TRATanzania Imetoka ubavuni mwa #SUMATRA, wakazaliwa #LATRA anasimamia usafiri wa ardhini na #TASAC anasimamia usafiri wa baharini.
#TpsfToday- In Meetings
#HappeningNow is the Private Sector consultative meeting with a team of experts from the Ministry of Finance and Planning to discuss the recently proposed TASAC Fees.
#WizaraYaFedha #TPSF #CTI #TASAC

The meeting also provides a great opportunity to comment and recommend on other outstanding challenges impacting the private sector on TASAC operations and mandate.
#WizaraYaFedha #TPSF #CTI #TASAC

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.4M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.6M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
80.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
68.8M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.4M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.1M followers



































