#Muislam
Kwenye maisha yako ya kila siku jenga tabia ya kusoma Qur'an walau ukurasa mmoja au aya tano kila siku.
Lakini kuwa na mapenzi na Qur'an ni bora zaidi..
Pia hadith na tafsiri zake.
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Muonekano wa Uwanja wa Klabu yetu ambao unatarajia kujengwa katika Makao Makuu ya Young Africans SC Jangwani kwenye eneo la Uwanja wa Kaunda ukitarajiwa kubeba mashabiki 15,000 hadi 18,000.
#MkutanoMkuuYASC2023#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
katika historia nzima ya tanzania, hakujawahi kutokea tume yenye kujitetea na kujieleza kama hii ya chande. i mean, c’mon, give us a fucking break, will ya? nafsi zenu kuwasuta kwa kusafisha na kuhalalisha mauaji halaiki ya raia isiwe ni mateso na kwetu sisi. chill the fuck out!
@ProsperMasau Haya mlianzisha nyie baada ya kupeleka mechi ZNZ kwaiyo jamaa ni kama wamepata sababu na wao wap? Pakuipeleka haijalishi ukubwa wa uwanja sasa!!
Katika uchaguzi huo, Sugu amekiri alimuunga mkono Mbowe, ingawa katika maisha yake binafsi yeye ni rafiki zaidi wa Lissu tangu walipokuwa pamoja bungeni.
“Of course (bila shaka), mimi nilikuwa kambi ya Mbowe, lakini sikuvuka mipaka yangu, nikijua kwamba hawa ni viongozi wetu. Sawa, mimi nilikuwa namuunga mkono Mbowe, lakini Lissu ni mwanangu zaidi kuliko Mbowe. Hata tukiwa Dodoma, wakati ule mchana, unamuuliza bwana uko wapi twende nyumbani tukale ugali? Uko wapi twende tukale pizza? Ni kaka yangu,” amesema.
#mwananchiupdates
#tunawezeshataifa