Moja ya maombi tunatakiwa tufanye kila siku ni maombi ya kushukuru Kwakuwa kuna mitego mingi Mungu anapambana nayo yeye bila ya sisi kujua ... hata kama mambo hayako sawa shukuru 📌
Kutoka 3
19 Nami najua ya kuwa huyo mfalme wa Misri hatawapa ruhusa mwende zenu, la, hata kwa mkono wa nguvu.
20 Nami nitaunyosha mkono wangu, na kuipiga Misri kwa ajabu zangu zote, nitakazofanya kati yake, kisha baadaye atawapa ruhusa kwenda.
GOOD MORNING
Mwaka 2010..Kuna dada jirani yetu mitaa ya home kule morogoro kichangani,yule dada alichumbiwa sasa ile siku ya mahari,kulikuwa na sherehe kubwa mziki mkubwa,Misosi,Vinywaji vya kutosha,Baadhi ya majirani wakaalikwa,Dada akavishwa https://t.co/ny6jK4y17W habari ikaishia hapo..