While we canβt choose what happens in the world, we can choose how we reactβ β and this week I made a decision to go bald after my hair started failing me for some time nowβΉοΈπ
π₯β¨ #Reinvest#Redefine#Reimagine
Watu wengi watamani kufanya biashara lakini kuna hii fursa ya kutengeneza European cars, mafundi wetu wengi wabahatishaji, mtu aende South Africa akajifunze au Europe akajifue hata miaka miwili then arudi bongo, hela ipo nje nje
Haya magari ni mazuri sana, shida mafundiπ₯²
MAMBO YA MUHIMU KUZINGATIA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU.
1. Jiamini katika maamuzi yako, tunza brand yako, Ni sehemu Mojawapo ya kuwa mwanaume imara.
2. Uaminifu nijambo la thamani kubwa sana, Fuata maadili na kanuni za kimaadili ni jambo la muhimu.
3. Kujali afya yako nimuhimu sana, Kula vizuri fanya mazoezi, Na kujitunza kiafya ni sehemu ya kuwa mwanaume imara.
4. Kua tayari kujifunza na kuendelea kukua katika maisha, Kumbuka, Elimu na kujitolea, kuboresha ujuzi wako ni sehemu ya misingi hii.
5. Kuwa na moyo na Utayari wa kujituma kwa bidii katika kazi na majukumu yako,
Nakuwa na azma yakufikia malengo yako.
6. Kuwa mfano bora kwa jamii na familia yako nijambo la muhimu kwenye maisha yako.
NB: Msimamo na misingi kwa mwanaume imara ni muhimu katika kujenga maisha yenye mafanikio, Afya njema na kudumisha uhusiano mzuri na wengine.
ASANTE SANA π€
Bongo ni ngumu sana kwa Graphic Designer ama Photographer kukosa Gig . Kuna Opportunities nyingi sana kwa watu wenye skills hizi mbili especially kama unakaa maeneo ya Mjini .