Misuguano ya Kifikra ndiyo huleta suluhu;
kwa mtazamo wangu (+ve) naweza kusimama na @godbless_lema ... why kama ni kujitoa Chadema wamefanya sehemu yao (more than 25 yrs) ilitakiwa kwa sasa w'nchi tuwe matured! hata mtoto akifikisha 20 years anajitegemea; sisi wananchi ndio tatizo.
‼️🚨 Tumechoka! Tumeliamsha
Dude: Tukutane Parokiani‼️
Tunaualika umma wa taifa la Tanganyika, bila kujali dini au dhehebu, kushiriki ibada za kuombea ndugu zetu waliouliwa, kutekwa, wanaoteswa kwa mateso ngono na hata kufunguliwa mashitaka ya uhaini kwa sababu ya kudai HAKI. Pamoja na sala tunaalikwa kuwasha mishumaa, kusambaza picha za wapendwa wetu na kuvaa mavazi ya maombolezo. Taifa lina msiba usioisha!
Tunawajulisha Inspekta Jenerali wa Polisi Camillus Wambura pamoja na Mkuu wa Idara ya Usalama ya Taifa Suleiman Mombo kwamba maandamano ya kumbukumbu wa mwaka mmoja wa mauaji ya raia yatafanyika nchi nzima kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi 7 Novemba 2026 hivyo wajiandae kulinda raia waandamanaji kwa mujibu wa sheria.
Tanganyika ina parokia zaidi ya 1,500 na vigango makumi ya maelfu. Hivyo kila raia mtetezi wa HAKI anaalikwa kuhudhuria ibada ya kumbukumbu kwenye parokia ama kigango kilicho karibu yake. Hii ni kuunga mkono wito wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) wa ulazima wa kukiri maafa yaliyoikumba nchi yetu na kuweka nia ya dhati kupambana na dhuluma na uonevu. Baraza la Maaskofu Tanzania limeonyesha njia ya namna halali ya kuendelea kudai HAKI na kulinda UHURU wa kuabudu.
Tunaelekeza GenZ kusimama kidete kutetea taifa lao la Tanganyika na kutumia mbinu zote halali kushinikiza kuachiwa huru mara moja kwa mateka wengine wote wa kisiasa na kudai HAKI itendeke dhidi kwa raia waliouawa Oktoba 29, 2025 na wengine wote wanaoendelea kutekwa, kuteswa na kuuliwa.
A luta continua, vitória é certa!
Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika!
#TukutaneParokiani #FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
Mnataka nani atii Amri za mahakama kama nyie hamzitii?
Mnataka rule of the jungle?
Watanzania hawatakubali upuuzi huu.
Mwenyekiti wetu akipatwa na madhara yoyote lazima mjue kamba hatutakubali.
Amina!!!!!!
Kwa walioongoza mauaji: jitafakarini mbele za Mungu, sikilizeni dhamiri zenu, semeni ukweli, tubuni na wajibikeni. Hakuna cheo kinachohalalisha mauaji wala kufuta uwajibikaji wenu. Damu iliyomwagika isiwe ukurasa unaofungwa kwa amri. Iwe wito unaotikisa dhamiri: ukweli usemwe, haki itendeke, na ukatili huu usirudiwe kamwe.
Tundu Lissu made the Sakharov Prize final three while sitting in a Tanzanian prison on a death penalty treason charge. Europe sees a human rights defender. CCM sees a criminal. Make it make sense. #FreeTunduLissu#SakharovPrize@EPPGroup
Tanzania’s Tundu Lissu deserves the Sakharov Prize.
Facing a possible death sentence amid concerns over the fairness of his trial, the Tanzanian opposition leader remains a courageous symbol of the fight for democracy, human rights and the rule of law.
Hear more from EPP Group MEP @ReinholdLopatka.
People’s power ✊🏽
Chadema rally in Karatu pulls a massive crowd in #Tanzania
The people are ready for change
Wananchi wanataka mabadiliko na mabadiliko hayakwepeki!
Msisubiri hadi mtimuliwe!
#WenyeNchiWananchi