Ni hatua gani au ni jambo gani ungependa kuona jamii ikifanya ili kuweza kukabiliana na hili janga la #COVID19?
@MassaweJapanni
#JamboMassawe#OngeaUsikike
Violet: "Watoto wengi huvumilia mambo kule shuleni kwa sababu wanambiwa wataadhibiwa wakitoa siri za shule nje. Ninapongeza hao wasichana sana kwa kujitokeza..."
#JamboMassawe#OngeaUsikike