Dunia inaanza kuelewa kwamba watu wameuliwa nchi hii na wengine wamepigwa risasi eti kwa sababu tu wako UPINZANI. Tulivyo wachagua ndugu zetu kwenda Bungeni kutuwakilisha tulitegemea watoe maisha yao mhanga au tulitegemea wasikilizwe na Serikali? Tutafakari hili jambo.
Shinda Camon 11 mpyaa msimu huu wa sikukuu..!
1. Like na Retweet video hii kwenye mitandao yako ya kijamii.
2. @ wadau wako 4 au zaidi.
3. Tutag @TecnomobileTZ
4. Weka #MerryBluechristmas#sioyakawaida
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
@lady_bahati Anajinadi sana akiwa majukwaani utadhani yy ndo Rais wa kwanza kwa nchi yetu kumbe na yy anapita tu alafu anachoshindwa kujuwa hizi sio zama za kijinga kama enzi za mwalimu 📻 tu mnaisikilizia kwa mwenyekiti wa kijj tena TBC
Tafadhali sambaza hii nijue leo:
Kuna mshambuliaji yeyote kiwango cha ligi kuu na taifa ambae yuko free na anaweza kujilipia tiketi kwa majaribio Vietnam anitafute haraka 0715 430022
@hpolepole@ccm_tanzania Hivi kiongozi kwanini serikali ya ccm inaishi kwa matukio. Kwa mwendo huu siamini kama million 50 kila kijiji zitakuwepo tutaishia kuunga Kuhusu mkono wa bandia