Top Tweets for #JusticeForMbowe
@IAMartin_ @ACTwazalendo mfikishieni huu ujumbe huyo mzee wenu.. Sisi kama @ChademaTz pamoja na mwenye kitu wetu #MboweSioGaidi hatutaki msaada wenu wowote hule wa kinafki.Hatutaki kuombewa msamaha.. Na kamwe hatutoomba msamaha.. Maana hakuna kosa #MboweSioGaidi amefanya
#JusticeForMbowe
#HABARI Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema anakerwa na tabia ya kukatika umeme na maji mara kwa mara kunakoendelea hivi sasa katika maeneo mengi nchini. https://t.co/HQSrfuxzAM

Hii Mahakama kila pingamizi la Utetezi inalitupa. Hii si kwamba ndio Mahakama ya Kangaroo na madhumuni yake kumfunga Mbowe?
#JusticeForMbowe

Mungu wetu ni mwema Sana na husimama katikati ya wenye haki. #MboweSioGaidi #justiceformbowe Leo milango ya gereza itafunguka .@malulu_james @SimonMsenga @mackphason @davitheempire @IAMartin_
#Siku92MboweGerezani leo 20/10 mahakamani:njia kadhaa za #JusticeForMbowe Ama DPP awasilishe hati ya nolle prosequi mashtaka yafutwe Mwenyekiti @freemanmbowetz awe huru au Jaji Siyani aamue maelezo ya Adam yaliyochukuliwa nje ya muda kwa kuteswa yasikubaliwe.

#MboweSioGaidi #MboweIsNotAterrorist #FreeFreeman #JusticeForMbowe DPP afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti @freemanmbowetz awe huru kuendelea na majukumu. Haki inapaswa kutendeka kwa wakati. Utawala bora na haki uzingatiwe na mihimili yote ikiwemo Serikali.
Naamini (Jaji Mustapha Siyani) ukisimamia zile nguzo zetu tatu zinazotuongoza, moja utawala bora, uwajibikaji na usimamizi wa rasilimali. Pili, upatikanaji na utoaji haki kwa wakati. Tatu, kuimarisha imani ya wananchi bila imani ya wananchi mahakama haina faida-Jaji Prof. Juma.

@jjmnyika Wanatafuta JIBU kwenye ongezeko la Mafuta Nchini badala ya kutafuta SURUHISHO la kudumu!
#MboweSioGaidi
#FreeFreemanMbowe
#JusticeForMbowe
Aya twendeni tunamfollow @Mchambuzi5 kwa Habari nyeti.. Achaneni na ZEZETA a.k.a #KubwaJinga
@Mchambuzi5 ndo Habari ya Sasa..
#MboweIsNotATerrorist
#MboweSioGaidi
#JusticeForMbowe
#KatibaMpya
#ChangeTanzania
#ChangeAfrica
#TutaelewanaTu
✍Nilipowaambia hizi updates nitakuwa nazitoa mwenyewe baada ya kuona kigogo amezingua muwe mtatuelewa
✍Nilimlisha kila,akapata umaarufu, akasaliti kambi.
✍Hii nchi ina MANYANG'AU sana

@NyakishoZaza Kwa wanaotumia hivyo vitu,bt wapo ambao hatujawahi kugusa hata harufu nikero.
#MboweSioGaidi
#KatibaMpya
#justiceforMbowe
Ndugu waandishi wa Habari...
Nimewaita Hapa kuwaambia kuwa Tanzania ukiwa na Laki 6 (600,000/=) unaweza kudhamini ugaidi.
😁😁😁
#MboweIsNotATerrorist
#MboweSioGaidi
#JusticeForMbowe
#KatibaMpya
#ChangeTanzania

Katika kesi 63/2021 Mhe. @freemanmbowetz anatuhumiwa kufadhi Ugaidi kiasi cha shilingi Laki 6 na upande wa Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa Matumizi ya fedha hiyo ni kama ifuatavyo;
1. Kulipua vituo vya Mafuta
2.kulipua mikusanyiko ya watu
3.Kukata miti na kusambaza barabarani
@MariaSTsehai Katka kesi serikali wamebugi na wanashndwa kujua wanaichomoaje ndo hii ila wakumbuke ni #JusticeForMbowe #MboweIsNotATerrorist #MboweSioGaidi #KatibaMpyaMovement
@ChademaTz @freemanmbowetz Tuta pigania hakia ya chairman wetu mpka hatua ya mwisho... will never give up... #JusticeForMbowe #MboweIsNotATerrorist #KatibaMpyaMovement ✊🏿✌️
Last Seen Hashtags on Sotwe
古风转场
Seen from United States
มีควยใหญ่อยากช่วยเมียผมไหมครับ
Seen from Thailand
ชักว่าวใส่ผ้าถุง
Seen from Thailand
nikita sharma
Seen from Malaysia
monkeyapp
Seen from United States
bbw
Seen from United States
淫词艳曲
Seen from Singapore
Omegle
Seen from United States
ควยผัว
Seen from Thailand
ladyboy_riyadh
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers




























