@Pierre88751351@AnnaMickidady@TumainP@frediejustine Sasa Miller baadae ndo alijiunga na Usabato baada ya utabiri wake kuwa umefail ,hata Hellen alikuwa Baptist baadae nae ndo akajiunga na Usabato .
Kuhusu 666 ni habari ya unabii kama Biblia inavyosema katika ufunuo 13,na 666 ndio title ya Papa au VICARIUS FILII DEI.
📌Karibu tena, Kila upatapo nafasi usiache kujumuika nasi aidha Kuna chama cha ATAPE kikijumuisha wanataaluma na wajasiliamali, maarifa yako ni muhimu. Karibu🙏
Lazima tupate maelezo yaliyonyooka kutoka baadhi ya wadau 🤣
Mf hata @kitilam hajanijibu bado bila unagaubaga
Je unataka #KatibaMpya na unakubaliana kuwa #KatibaMpyaNiSasa ?
Hakuna jibu la tatu “sijui” au “jibu lake si nyepesi” na maneno mengi!
Haya we weka jibu 👇🏽