#BreakingNews
Kesi ya Mgawanyo wa mali za CHADEMA imefutwa leo naona Said Issa na waliomtuma wameweka mpira kwapani.
Na bado hata kesi ya Mhe. Lissu watafuta tu
Kumbe VISA mnataka.😁
REPOST 200
Ukiangalia ile post ya Peter msigwa kurejea CHADEMA pale wanaofuarahishwa na urejeo wake ni wale watu wa CHADEMA haswa ambao tunawaamini kwenye haya mapambano.
90% ya watu wanaopinga urejeo wake MSIGWA na wengine kusema “akirudi awe mwanachama wa kawaida” ni wale wapenda haki wasio na vyeo wala kitu ndani ya CHADEMA zaidi ya kupenda harakati za MAPAMBANO.
Hii inakupa picha gani?
Watanzania sio WAJINGA-msigwa ni sehemu ya watu waliolifikisha TAIFA kwenye MO29. Matusi na kejeli alizotumia dhidi ya CHADEMA (TUMAINI LAO) kwenye majukwaa mbali mbali watu hawajayasahau.
Ndani ya CHADEMA kuna mengi ambayo yanaendelea SIRINI wao kwa wao wanayajua ila sio watanzania wote wanayajua. Ila kwa yale ambayo yanatoka duniani na wanayaona kama ya hawa WAKINA MSIGWA nafikiri mnaona majibu yake.
Kizazi hiki cha GEN-Z hakiwezi kuyumbishwa na SANAA ZENU za “siasa” mlizokuwa mnazifanya zama za GIZA. Na hawa GEN Z ukiwasikiliza na kusoma misimamo yao kiukweli kweli hawapo kwenye VYAMA wao wanaamini kupitia HAKI.
Sasa kama mnahisi hiki kizazi mtaweza kukiendesha mnavyotaka hilo sahauuni watu sio WAJINGA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kwasasa hakuna chama chochote chenye legal or constitutional authority kuongoza au kuwasemea Watanzania sababu hakuna uchaguzi ulifanyika October 29 zaidi ya “Tume yenyewe kupiga kura” wakati wananchi wakipigwa risasi na CCM.
Ila kuna chama kimoja chenye moral authority kuwaongoza na kuwasemea Watanzania, na chama hiko ni Chadema.
🔥🔥🔥 Tundu Lissu 🔥🔥🔥
Rais wa kweli wa Tanzania 👊🏽
Kama mnabisha nyie madhulmat itisheni uchaguzi wa kweli wa haki na huru tuone!
Thubutuuu!
Mwachieni Lissu - hamuwezi kushindana na mpango wa Mungu
#FreeTunduLissu#FreeTunduLissuNow
Mitaa inaelewa, huyu Bro hata simjui alikuwa ameingia kwenye Daladala niliyopanda imebidi niombe nimpige picha binafsi nime feel respect sana kuona chata kubwa.🫡
Wasomi wa Vyuo Vikuu Dar es salaam wameitikia kongamano la Chadema Students Organization (CHASO) ambalo linaendelea muda huu kwenye Ukumbi wa Landmark Ubungo.