Neno kubwa la kuchunga ktk kinywa ni hili"CHADEMA ITAKUFA"Wanao sema neno hili huwa WANAKUFA wao aidha Kimwili au Kiroho. CHADEMA ndiyo tumaini pekee kwa sasa ktk siasa za Nchi.Lindeni Chama hiki kwa wivu mkubwa. Mkiona viongozi wana potoka warudisheni haraka ktk mstari.
@RamarJemedal@BungaraSeleman@godbless_lema @GodblessLema13 Kijana ili utajirike unaanza kuwekeza il upanue njia za kupata pesa nying ,sio umepata 10M haf ukimbilie kununua gari.Utakufa ukiwa maskin japo una gari
Chadema sio washamba au limbukeni wa jengo,wanawekeza iman kwenye damu ya wa tz then ofsi kali ya makao makuu itafata
Tanganyika kuna Chama cha UPINZANI kimoja tu Hivi vingine VIPO KUKIPINGA hicho Chama cha UPINZANI. Kuna VYAMA Vinavyojiita vya UPINZANI vipo kwa AJILI ya kuwachelewesha Watanganyika Kupata KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI
Me i don't care ikiwa CDM huko mbeleni watakuwa na nguvu au hawatakuwa na nguvu. Jambo la msingi na ambalo naliheshimu kuhusu wao ni kuwa angalau wamefanya siasa zao zikanigusa mimi moja kwa moja kwa miaka sasa. Hili halijasababishwa na ofisi au pesa zao bali maono yao. BIG UP
@MusiimeEmmanu13@mkainerugaba Tweets of @mkainerugaba in social media are mostly nonsense,it's contents are not accompanied with security, instead he is breaking a diplomacy with neighbors countries
@AnnaMickidady@abdulnondo2@HecheJohn Hata vijana wa act hapa mtandaoni wote ni kutoka Kigoma ujiji.
Wanakuja hapa na kapropaganda ka ofisi.
CDM ina ofisi mikoa yote ya nchi hiii na 95% + ya majimbo. (Za Kupanga/Kumiliki)
Hatuwezi tishwa kwa ofisi moja ya Makao Makuu waliojengewa n mfadhili wao
Dola
@MwananchiNews Why you ended space ubruptly?
Demokrasia haitaletwa kwa kuogopa ukweli,kwann mlikatisha space ghafla baada ya Lissu kuongea ukwel ulionyooka?
Bado mnatishwa kama enz za Magu au hamjiamin tu?
@MwananchiNews Why you ended space ubruptly?
Demokrasia haitaletwa kwa kuogopa ukweli,kwann mlikatisha space ghafla baada ya Lissu kuongea ukwel ulionyooka?
Bado mnatishwa kama enz za Magu au hamjiamin tu?
@mkainerugaba But Uganda militarily is always recessive to any country.
i.e Kagera War(Idd Amin Vs Nyerere)--Uganda defeated in this war
Also Entebe Operation (Israel Vs Kidnappers of palestine&Idd Amin)--Israel won
So stop majesty
@ThabitSenior@VitusNkuna@MwananchiNews Kaka Thabit kumbe kiswahil unakijua!
Post zako nyingi hua ni ng'enge ngumu ngumu,ambao tumesoma shule za kayumba bnafsi hua napotea