Poleni sana wanaKaratu kwa kifo cha Mpambanaji Jubilete Mnyenye. Tutaendelea kuukumbuka mchango wake kuanzia uenezi wa awali wa Chadema Karatu na hatimaye akiwa Mwenyekiti wa Halmashauri. Naungana nanyi kiroho kumwomba Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema. #RIPJubileteMnyenye
@godbless_lema@zittokabwe Why mwami is everyday advertising himself that he reads a book,why other book-readers are quite?
Some routine habit is not necessarily to make an advertisement
Read&stay quite then we shall see the outcomes of what you gain.
@zittokabwe
@zittokabwe@zittokabwe kusoma tu vitabu ndo unajitangaza kila siku,unajitangaza kua unasoma vitabu il tujue una gain contents xn sio?
Au tujue nn hasa? Mbona wasomaji wa vitabu wenyewe wanavisoma xn na huweziskia wanajtangaza kama ww.
Just be mature like @freemanmbowetz ,hanaga shobo nyng
KARATU/CHADEMA itakukumbuka. wkt wote.Uliamini ktk demokrasia wkt demokrasia haikuwa IMANI ktk fikra za watu wengi.Tulikusikia/kukuona tulipo kuwa tunajifunza.Kifo kimethibisha tena hakuna mtu ataishi milele.Wema ktk maisha ni jambo muhimu zaidi.
R.I.P -Jubilate Mnyenye.Zab 121
@godbless_lema Hua naumia sana napoona/kuskia kamanda ye yote wa @ChademaTz analala usingiz wa mauti😪
Ila basi kifo hakikwepeki ,apumzike kwa aman J.G. Mnyenye
@John_Pambalu Jarbu kutojiingza kwenye kila dosar za ccm hasa kipind hik wanachochaguana,kuwazodoa kinagaubaga wanaohis hawatendewi haki ndan ya ccm ni kuwafanya waone ugumu wa kuhamia kwetu.
"Kila mwanachadema anao wajibu wa kushawishi watu/mtu toka chama chochote aje CDM" @freemanmbowetz
@Mwanaishamndeme@zittokabwe Acheni #Kuigiza
Mama&mtoto hawafanyiani figisu
Tunawachora tu mnavyoigiza mana mlisema tz mazingira ya siasa yapo shwari