@Fido097 @ayubu_madenge Kwani alichosema ni kosa na kama nikosa siilipaswa vyombo vya dola vihusike kumchukulia hatua za kisheria,kwahili hapana na ni mbaya sana maana tunaweza kutafutana muda sio mrefu watu wachungane na haha mambo kwa viongozi wa dini maana wanagusa mioyo ya watu directly.
@theophiltz@HecheJohn Kwani polisi siwanatumwa kama VILE wewe unavyomtuma mtoto wako mahali jua anakuwakilisha wewe mzazi kwahiyo hacheni kulalamikia polisi hamtakaa mtoboe kwakulalamika kwa mtoto badala ya mwenye mtoto