@PaperWhispers Seriously, why don't African Universities have institutes of European studies, or white people research or white people history studies?
@rose_mayemba Ni overhaul siyo overwhole. Anyway. Lakini Mtaka si wa kwao kwanini wanamkataa, au atakuwa hafanyi hewala bwana? Huko IOC wataikubali kamati iliyochaguliwa kwa namna hiyo?
@Thommunkondya Wamiliki wa mabasi ndiyo wabunge, ndiyo madiwani, ndiyo wakubwa wa serikali, ndiyo wafadhili wa chama twawala. Ndiyo hao hao wanakodisha vijana bajaji na bodaboda. Unatarajia nini?
‼️#EnforcedDisappearance#Tanzania caught on CCTV‼️
Wednesday night around 9pm at Tawaqal petrol station in Sumbawanga, Masoud Husein was taken by these men who drove a sedan and walked up to him as he sat on his bodaboda next to a Hiace mini bus! When the people asked who they are they said they are from the security and intelligence services TISS! He has not been seen since and police deny having him! @tanpol better produce him alive and well because this is TOO MUCH!
We demand an end to these illegal abductions by state backed operators!
Jumatano usiku majira ya saa 3 usiku Masoud Husein alitekwa na hawa wahuni na CCTV imerekodi kila kitu! Hawa mafedhuli kwenye hiyo gari ndogo walishuka na wakamfuata Masoud aliyekuwa amepaki boda yake hapo mkabala na Hiace na wakamchukua! Hapa ni kituo cha mafuta cha Tawaqal huko Sumbawanga! Walipohojiwa na watu kuwa ni akina nani wakasema wao ni TISS! Mpk sasa hajaonekana!
Samia Suluhu alibadili sheria ya TISS kuwapa wahuni hawa nguvu kufanya watakavyo! Ni hatari! Nyie @tanpol hatutaki maneno mtafuteni na mrudisheni! Na nyie TISS acheni huu uhuni ndo mtaendelea kupigwa ban mpk bibi zenu 🚮 washenzi kabisa!
Mmesababisha nchi inanuka damu na dhulma!
Ndo maana nawaambia #SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Mlitaka mahakama iende Ukonga? 🙄 Abdul bana! Unafikiri mahakama ni kama kiosk cha nyumbani?
Eniwei ngoja tuone mnaamuaje!
Ila sisi tunasema #FreeTunduLissu