🚨Taarifa kwa umma🚨
Watu waliojitambulisha kuwa ni police wamefika nyumbani kwa katibu wa kanda ya Serengeti mhe Mnyawami wamemchukuwa saa 3:08 usiku na kuondoka nae wanasema walikuwa wanamhitaji kituo cha police shinyanga
Mmoja wa police hao amejitambulisha kwa jina la Masudy
Wiki iliyopita nili-post juu ya kesi hii ambayo Serikali iliwashtaki watu hawa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa madai kuwa waliandika katika akakunti ya Instagram kuwa " mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na tume ya Uchunguzi". Nikahoji kosa lao hapo ni nini kusema tume haiwezi kuficha mauaji hayo? Nikahoji kwani tume iliposema wameuliwa watu 518 ilikuwa inamaanisha nini?
Pamoja na mambo mengine niliahidi kuwatetea mahakamani watuhumiwa hawa ambao ni mme na mke mwenye mtoto mchanga. Leo tarehe 12/6/2026 ilikuwa siku ya kesi yao. Nafurahi kuwajulisha kuwa kesi hiyo imefutwa na watuhumiwa wako huru kuanzia leo.
Tunaposema hatuna MAHAKAMA tuna KUNDI LA WAPUMBAVU ndio hivi.
Ikiwa yamebaki masaa MACHACHE Lissu apelekwe mahakamani wajinga wamesogeza mbele siku mpaka 6.7.2026.
Afu kuna takataka itakuambia mahakama zetu ni HURU. Nchi inakera sana hii.
#FreeTunduLissu
Kweli mipango ya Mungu ni siri kubwa. Fikiria huyu ndiye angekuwa Makamu Mkiti wa Chadema chini ya Mbowe.
Ni maridhiano gani anayotaka kufanya na vyama?
Waathirika wa 29.10.2025 na hali ya siasa nchini ni WANANCHI.
Anataka kukataa kwamba wananchi walio wengi wako na Chadema?
wale watoto wa ccm wanaupata wapi ujasiri wa kumshambulia na kumtukana mzee warioba — mwanachama pekee mwandamizi wa chama hicho aliyebaki, na anayekiheshimu chama chake kiasi hiki?
Watanzania wenzetu wa Karatu leo, hii mikutano itabidi jeshi la zimamoto na uokoaji wafanye maandalizi ya kuleta vifaa vya Oxygen. Hii Idadi inaonesha kuna uhitaji wa Oxygen, hii operation Katiba Mpya, Free Tundu Lissu ni hatari.
Mkutano upi unadhani ulitisha kwa wingi wa watu ?
‼️MUHIMU KWA WAZALENDO WOTE🚨‼️
Ikiwa imebaki mwezi mmoja kufikia SabaSaba kuna tangazo limewekwa na Gen Z na Gen zote kuwepo kwa maandamano nchi nzima.
Sasa nashauri serikali haramu, vyombo vya Dola na chama cha maharamia CCM yafuatayo:
👉🏽 nakumbuka ktk mazungumzo na marehemu Baba yangu alikuwa ananisimulia matukio aliyoyapitia na alisema unapoenda kuongea na watu waliogoma au walioandamana usitumie nguvu na usiende kuwaona ukiwa na hasira! Wasikilize wakutukane weeee hadi adrenaline zao zishuke ndo muanze kuongea ila waache wafunguke na wasikilize!
Mlikosa busara KABISA Oktoba 2025 mkakubali kupelekeshwa na Abdul ambaye hana cheo serikalini?! Leo wote mnarukana ila wote mmeonekana wauaji!
Sasa mmewaua MAELFUU na kuzika miili yao kisiri - je ndugu wa hao mliowaua mnafikiri mtapunguzaje hasira zao!? Kwa kumwaga damu zaidi? Mnajua mwisho wake!? Hizi adrenalin hazitapoa tena kwa maneno!
👉🏽 Vikosi vya ulinzi na usalama kazi yenu SI KULINDA CCM! Leo hii Mafwele ndo kapigwa ban na si mtu yeyote wa CCM au serikali na bado atahaha na wengine! Hawa wanasiasa wako wapi kuwasaidiane? Kesho mambo ya kibumbuluka Abdul ataenda zake Oman na mama yake! Mtafungwa ninyi! Ndo iwe fundisho!
👉🏽 Maandamano ni HAKI na si uhaini! Cha muhimu mlitakiwa kuruhusu hata CHADEMA na wanaharakati waongoze haya maandamano ili tuwe na njia nzuri na wazi - leo maandamano haya yanaongozwa na watu wasio na jina au sura! Hata mi leo mkinikamata maandamano yataendelea maana watu wamechoka washajipanga kwa kaya! Mi napenda huu utaratibu maana ndo itakuwa na mafanikio kuliko kukamata wachache na kutuwinda kila kukicha! Ila kwenu ni karaha hamjui nani ni nani! Na pia wengine wana hasira tu wanaweza kuamua kufanya magumu na hakuna wa kuwakanya - wameshavuka mstari wa kuambiwa jambo!
👉🏽 JWTZ mmeruhusu vikosi shenzi vya Abdul na Mafwele pamoja na jeshi mamluki ya nje to operate with impunity! Wameua mbele yenu kwa silaha wananchi wasio na hatia! Vijana wamefumuliwa ubongo mbele yenu na mlibaki kuangalia au kurudi kujifungia makambini!
Mmefungua mlango kwa ushenzi zaidi na kesho hata majeshi ya jirani mf ya Uganda wakiamua wenyewe kuvuka na kutuua mtashindwa kudhibiti! Mmeonyesha hadharani udhaifu mkubwa na pona yenu ni kusimamia ulinzi wa wananchi! Kama ambavyo Oktoba 29 tuliamini mnatulinda na watu waliandamana kwa kujiamini ndivyo 7/7 acheni wananchi waandamane na muwalinde haswa! Na msiruhusu Abdul au kikosi chochote kuwaua na wanajeshi watakaodhuru wananchi wachukuliwe hatua kali!
Acheni watanganyika wapumue! Na rudisheni nchi kwa wananchi tuanze upya!
Huu ujumbe si ya machawa maana hao wanajua dili yao imebuma tayari! Naongea na WAZALENDO waliopo kwenye mfumo na ninaamini mmenielewa
Sisi tunasema 7/7 tunatoka! Tulindwe!
#SamiaMustGo #Haki kwa wote na uwajibikaji kwa mauaji halaiki ya Oktoba
Vyama Vingine Vya Upinzani Mbona Hatuvioni Ground?
CHADEMA Haina Ruzuku, Lakini Wako Ground Kila Siku Wanapiga Mikutano
Hawa Ambao Wana Ruzuku, Wana Wabunge, Mbona Hawafanyi Mikutano?
Hiyo Ruzuku Wanaila Tu?
Siasa Zimewashinda?
Au Wanaona Aibu?
ACT & Chauma Mikutano Lini?
Mkutano wa leo Karatu CDM tunaomba jeshi la zimamoto na uokoaji waje haraka na vifaa vya Oxygen. Watu ni wengi sana hewa inazidi kupingua kadri muda unavyosonga mbele tafadhari!!.
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu..
Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!!
Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga?
Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!!
Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
Bado siku 5 👊🏽🔥
Wakazi wa Dar es Salaam ni muhimu kufika kwa wingi mahakamani kuonyesha SOLIDARITY na Tundu Antipas Lissu
Tuhakikishe tunaweka historia ya kujaza mahakama hadi nje! Na tusimwone George Bagyemu au Mafwele hapo mbele ya mahakama kuzuia watu!
#FreeTunduLissu