@zeanonymouspoet@PolycarpMDM Wewe wakuja kama hujuwi kitu uliza.itakuwa dar umeingia juzi tu hapa. Kwa taarifa yako pale jangwa palikuwa na mji mkubwa sana wa makazi ya watu. Waliamishwa wengi wao wakapewa viwanja mabwe pande.. Wabishi waligoma na kuendelea kukaa hapo jangwa mpaka pale serikali ikawatoa tena
@PolycarpMDM Ule usemi wa akili ndogo inaongoza akili kubwa. Yani imagine wanatoa watu jangwan sababu ya mafuriko ans at the same time wanapeleka mradi mkubwa kuujenga pale pale..😂😂😂 inachekesha sana. Ila sijuwi tulimkosea nini Mungu. Ila tulipofikia sio pabaya tutafika