Maoni yangu: KU-UANA SISI KWA SISI ni ujinga mtupu. Sijawahi kuelewa, wala sitajitahidi kuelewa.
Unaua Kwa ajili ya fedha za kujenga majumba Dubai? Kwa ajili ya kuwa Mtumwa wa kisasa?
Msijaribu kunielewesha — hamtaweza. Kwa sababu hamna mantiki. Hamna heshima. Hamna utu.
Tume hii imetoa taarifa ya nusu-ukweli ambao unanufaisha Serikali zaidi kuliko raia. Raia ana haki ya kujua UKWELI KAMILI, si sehemu inayopaka wenzake kuwa wahalifu bila ushahidi.
Tume Ina maelezo ya kisiasa sana🚮
tume ya chande siyo tu imewachora watanzania kama mijitu fulani mijinga na isiyokuwa na uwezo wa kufanya ‘rational thinking,’ lakini pia kama mikatili iliyodhamiria kusababisha maafa. zaidi 👇
Alert🚫:
Mwenyekiti wa Zamani pamoja na kwamba anakinyongo kwa Lissu lakini Soon atakuwa Front na ajenda zake kukisurubu chama kaeni tayari kumkabili kwasababu mfumo unataka afanye hivyo na mjue ni mtu mwenye pesa na influence kwa baadhi ya Makada. John jaribu hili ni kwako.
Tume hii imetoa taarifa ya nusu-ukweli ambao unanufaisha Serikali zaidi kuliko raia. Raia ana haki ya kujua UKWELI KAMILI, si sehemu inayopaka wenzake kuwa wahalifu bila ushahidi.
Tume Ina maelezo ya kisiasa sana🚮
Vijana walilipwa TSh 10,000-50,000, wakapewa mafunzo, na walirushwa katika maeneo maalum
Lakini haikutoa:
❌Jina hata moja la aliyelipa
❌Tarehe maalum za malipo
❌Jina la aliyepokea
❌Njia ya malipo
❌Eneo la mafunzo
uchunguzi si kutaja uvumi na kuupa uzito wa taarifa rasmi
Maoni yangu: KU-UANA SISI KWA SISI ni ujinga mtupu. Sijawahi kuelewa, wala sitajitahidi kuelewa.
Unaua Kwa ajili ya fedha za kujenga majumba Dubai? Kwa ajili ya kuwa Mtumwa wa kisasa?
Msijaribu kunielewesha — hamtaweza. Kwa sababu hamna mantiki. Hamna heshima. Hamna utu.
Black Maladona Huwa namuona Genius Kwasababu ya rhyme schemes zake, wordplay, na uwezo wa kusimulia hadithi bila chorus nyingi, ni nadra sana hapa Bongo.
Watu wanaojaribu kumbeza hawawezi hata fikia nusu tu ya uwezo wake, kama yupo Taja hata Mmoja.
#DizastaVina#BongoHiphop
Wazazi wetu wapendwa,hebu tuwaambiane ukweli leo.
Kadi yako ya Kijani hatuna shida nayo lakini kuwa mtiifu kwa chama chako kwenye uhalifu ni kuhalalisha Uhalifu.
Watu wanapotekwa na kupotezwa, msikae kimya .
Watoto wenu hatutaki kuishi kwa hofu ya kusema ukweli katika nchi yetu.
Wakoloni wanatudharau, lakini sisi wenyewe tunajidharau zaidi, tunawaweka watu kama Babu Tale na Baba Levo kupanga na kuamua mambo mazito ya taifa. Upeo mdogo hauwezi kuvunja mikataba mibovu. Hatuwezi kulinda rasilimali zetu kwa ubongo wa kisoda. Never!

Hongera kwa Dkt. Sang’udi Sang’udi kwa kufanikiwa kupata ufadhili na msaada wa kiufundi kupitia Google Health AI Developers Foundation Program!
Dkt. Sang’udi, mhitimu wa Programu ya Mandela Washington Fellowship (MWF) wa mwaka 2025 na Mwanzilishi Mwenza wa SarataniAI, anaendeleza ubunifu wa uchunguzi wa saratani unaotumia akili bandia kupitia modeli ya MedGemma— inayoimarisha utambuzi wa mapema wa maradhi, kuongeza usahihi wa vipimo, na kupanua huduma za uchunguzi zinazoweza kufanyika katika maeneo yenye rasilimali finyu.
Kazi hii inaonyesha jinsi uwekezaji wa Marekani katika watu, ubunifu, na teknolojia unavyoleta matokeo halisi—kulinda afya, kuimarisha mifumo, na kuendeleza ustawi wa pamoja kwa Tanzania na Marekani.
@IAMartin_ Jamuhuri wametuliza kichwa angalau maana walikuwa wanaelekea kuzimu huko kubaya mno... Wamshukuru TAL kawasaidia maana wangeanza kukataza hadi media zisireport yanayotokea mahakamani, Vurugu zingekuwa nyingi mbaya