Top Tweets for #HeIsNotATerrorist
Daaah hiz taarifa za Mbowe kuachiwa huru,, zimenifanya nihis kama dunia imezaliwa upya tena. 😎!!Mapambano yaendelee✌️✌️ #HeisNotATerrorist📌.

Today in Dar es salaam, Tanzania🇹🇿
"The COURT is informed by the DDP on behalf of the Republic that he will not further prosecute FREEMAN AIKAELI MBOWE & three other co-accused".
Freeman is Free
#HeIsNotAterrorist
#HeHasNoCaseToAnswer

@IAMartin_ Mama Hangaya na team yake watamtoa tu Mh Freeman Mbowe! Na waambia watamtoa tu, #HeIsNotATerrorist

A lesson for all of us is that for every loss,there is victory,for every sadness,there is joy,& when you think you’ve lost everything,there is hope. You have to take risks.We'll only understand the miracle of life fully when we allow the unexpected to happen.
#HeIsNotATerrorist✊🏾

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 02 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. @venusnyota

“Tume ya Mabadiliko ya Katiba imefafanua kwamba mfumo wa Serikali tatu utagawanya vizuri madaraka kati ya mamlaka tatu za Muungano. – Warioba #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Yes, We are ready to take off.
Mtu mzima hovyo kabisa. Unaudhika watu wanapomtetea kiongozi wao aliyepewa kesi ya uongo? Principle gani anaongea huyu? Kumbe Uzee sio hekima hata wapumbavu huzeeka.
#MboweSioGaidi
#FreeFreemanMbowe
#HeIsNotATerrorist
#KatibaMpya
#WenyeNchiWananchi

When you sell your soul to the devil you will never own it back. Forget it Dr Slaa, you already have a tarnished image. #OldFool.
#MboweSioGaidi
#FreeMbowe
#HeIsNotATerrorist

Ile siku ambayo #DrSlaa alikubali kuwa mshirika wa JPM ili alipwe ujira alifanikiwa akalipwa ubalozi. Inatosha kusema alishiriki katika maovu mengi kwa kukaa upande huo bila kusema au kukemea.
#MboweSioGaidi
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#FreeFreemanMbowe
#HeIsNotATerrorist

Ni jambo jema kwa SSH kusema hataki KUTUKUZWA. Challenge ni KATIBA ya 1977 imejenga MFUMO wa Rais kutukuzwa.
Bila ya #KatibaMpya tunatangwa maji kwenye kinu tu maana tunategemea MATAKWA ya Rais na si ya SHERIA.

Wilfred Lwakatale alipokamatwa na kupewa kesi ya ugaidi, Dr. Slaa akiwa katibu mkuu wa @ChademaTz alijitokeza hadharani na kupinga kwamba Lwakatale si gaidi kabla hata ya maamuzi ya mahakama. Leo Dr. Slaa anasema anakereka na watu wanaosema #MboweSioGaidi kabla ya mahakama kuamua

Dr Slaa umefanya kazi na Mwenyekiti @freemanmbowetz kwa mda mrefu. Mambo yote yaliyotokea sisi tulinyamaza hatukuwahi kusema, haujawahi kuwa mkweli kuhusu kuondoka kwako CDM.
Umejaa chuki ndio maana huwezi kwenda hata kumuona mtu mliefanya nae kazi miaka mingi hapo Ukonga.
#JoinTheChain kwa kutoa Sadaka yako kwa Mwezi kwa ajili ya kukuza Demokrasia Nchini. Tafadhali toa sadaka hata ya buku utakuwa ume- #JoinTheChain #HeIsNotATerrorist

#Updates Mzee Hashimu, Mwenyekiti BAZECHA amepata mdhamana wa Polisi. Wanachama mabalimbalia waliitikia wito wa kwenda kumdhamni. #ShamgaziPower #HeIsNotATerrorist

Wagalatia 6:7-8 BHN
Msidanganyike; Mungu hafanyiwi dhihaka. Alichopanda mtu ndicho atakachovuna. Apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna humo uharibifu; lakini akipanda katika Roho, atavuna kutoka kwa Roho uhai wa milele.
#MboweSioGaidi
#HeIsNotATerrorist
RAIS SAMIA: KAMA UNAMJUA MUNGU HUWEZI KUMUUA MWENZIO
Asema "Kama unamjua Mungu huwezi kumuua mwenzio kwa Urithi, Kisasi au umeambiwa amekuroga hukuvuna"
Awaomba Viongozi wa Kimila kuwaambia Watu kinachotokea sicho tulichoamrishwa kwa Dini wala Mila
Soma https://t.co/gxyHwe532G

Mhe @freemanmbowetz anasema: "Tusimame tumwombe Mungu atuvushe na ameshaanza kutuvusha."
#HeIsNotAterrorist
Tuwe na Jumapili Njema.
Last Seen Hashtags on Sotwe
2YearsofTSmidnighTS
Seen from United States
سالب
Seen from Latvia
momson
Seen from India
nolimit()****** filter:videos
Seen from United States
依光隆
Seen from Japan
Gay chinese
Seen from Malaysia
gay bocil
Seen from Indonesia
gooned
Seen from Australia
HAPPYBINIDAY
Seen from United States
UstedSeLasMerece
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers




















