Usiwafanyie wenzako jambo usilopenda wewe ufanyiwe na ktk Maisha, hutakiwi kuchoka kupingana na maovu. Unapaswa kuwa mvumilivu na mnyenyekevu ktk changamoto zote za Maisha unazokumbana nazo na daima busara ikuongoze katika kila jambo.
@mr_celebrityy @DaveMaseko1
KWA PAMOJA TUSEME MAUAJI KWA CHADEMA SASA BASI..!
"If we must die, let it not be like hogs
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us bark the mad and hungry dogs,.."
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob akizungumza na waombolezaji katika msiba wa ndugu yetu Modestus Gerald Timbisimiliwa, Jimbo la Ukonga, Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, aliyeuwawa na maharamia siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji
@AishaSMadoga Dada yangu Aisha wakati unanisisitiza nikapige kura (ile asbh) ili kutimiza takwa langu kikatiba baada ya kufika sehemu huzika nilicho kiona hakika CCM wote mbingu wataisikia maana ule sio uchaguzi bali ni uhuni na ushamba, Imenisikitisha sana kuona niliyoyaona pale kituoni ๐๐
@IAMartin_@AishaSMadoga Hayo ni maeneo ya site one area'd nakumbuka asbh dada yangu @AishaSMadoga alinikuta katika viunga hivyo vya site one na kuni sisitiza nikapige kura nilimwambia nitapiga kura maana ni haki yangu kikatiba, lakini nilisikitishwa sana nilipofika kwenye sehemu niliyo jiandikisha ๐๐
Kiongozi wa Chadema Kanda ya pwani,Mkoa wa Dar es salaam kata ya Gongolamboto na Mtaa wa Ulongoni "A" ameuwawa na Kutelekezwa na Polisi.
Kamanda Modestus G. Timbisimilwa ambaye ni ngombea wa nafasi ya ujumbe Ulomgoni "A" katika uchaguzi wa serikali za mitaa lao 27 November 2024
Alifika katika Kituo cha kupigia kura baada ya kutaarifiwa na Wananchi kuwa kuna kura feki zinaingizwa Kituoni.
Mgombea wa CHADEMA Bw. Modestus G. Timbisimilwa alifika na kufanikiwa kuzuia kura hizo zisiingizwe Kituoni.
Baadae Polisi walikamata Bw.Modestus na Kumpeleka pembeni ya Kituo cha Kupigia kura ,huko ndipo alikutwa amedondoka chini akiwa tayari ni marehemu na Polisi waliokuwa naye walitawanyika kimya kimya na kumuacha palepale chini akiwa amefariki.
Kama hamkuwa makini, muangalieni ADC (mpambe wa rais) kuna signal anampa mzee wa kuinuliwa. Hapohapo mzee wa kuinuliwa akaomba radhi akipiga saluti juu.
Naipenda sana lugha ya kukonyeza gizani