Ngoja nikufungue macho kidogo kuhusu kitabu cha maarifa ya jua, kitabu hatari zaidi kwemye maisha ya mwanadamu
Kwanini SHAMS-AL-MAAR'F kimekatazwa na kinafichwa, uchawi, nguvu za giza Ushetani ndio mahali pake.
Ukikipata unaweza kuharibu ulimwengu
Shuka nayo ๐งต ๐๐พ
Unataka Kuwa TAJIRI?โฆ
Kuna Siri 2 Tu:
1). Tafuta Kitu Ambacho Watu Wanakitaka Kisha KIUZE Bila Aibu tena Kiuze Kwa MAMILIONI ya Watu
2). Nenda Kavamie Bank Kwasababu Ndiko Pesa Zilipo
Njia ya Kwanza Ndio RECOMMENDED!
Siku moja nilimshuhudia Mentor wangu, Kaka yangu Kipenzi akiandika barua ya kuacha kazi katika kesi ambayo alikuwa na uwezo wa kujitetea na akashinda, nilipomuuliza kwanini anafanya hivyo akanijibu sio kila vita unapaswa kupigana Kijana Mdogo, sio kila ushindi huja na furaha, vyote nitakavyopoteza vinaweza kupatikana nikipambana tena.
Hata asubuhi ya Ijumaa iliyopita nilimwona Boss wangu akimpa mkono Adui yake huku akitabasamu na alipoondoka akaniambia leo ana furaha sana, nilipotaka kufahamu kwanini nae akajibu anamshukuru Mungu kwa kumpa Adui anayemfahamu ila bado jambo moja tu ampe na Rafiki asiyemfahamu, nikachukua busara ile na kuondoka nayo.
Mkumbushe Mfanyakazi mwenzako kuwa tumeletwa duniani kwa kusudi la Mungu tu, hatupo hapa kushindana na Mtu, rizki zetu zimeshachorwa kama Katuni za Kipanya, tupo hapa kutimiza maandiko tu hakuna wa kuchukua nafasi ya mwingine bali majukumu, hakuna wa kuziba pengo la mwingine bali cheo tu.
Siku nyingine nilimshuhudia Profesa alifanya harusi ya kifahari sana na Mke wake ila hakuwa kumpost popote Mkewe wala harusi yake, nilipomuuliza kwanini akanijibu, kinachokupa furaha kifanye kuwa siri, ndoa ni maisha na Mwanamke ndio mfumo, unaweza kuwa na namba za siri za benki ila Mkeo ndio password ya maisha yako.
Juzi nilimshuhudia Swahiba wangu mmoja mwenye maisha mazuri sana akimkataza Mke wake asipost chakula status, nilipotaka kufahamu busara nyuma yake akaniambia wapo watakaoview na hawajala ama hawana uwezo wa chakula hicho, watamlilia Mungu juu ya baraka zangu, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, jitahidi kuficha baraka zako.
MKULIMA WA BONDE LA MTO KILOMBERO.
CODE: TANGAWIZI + KITUNGUU SWAUMU + ASALI.
Hii ni Viagra, Mkongo Usiokuwa na Madhara, Tumia Ndani ya siku 14 Ulete Majibu DM.
Namna ya Kuandaa, Shuka Kwenye Comments chap.... ๐
Mwanafalsafa mmoja Dr Drew aliwahi kusema kama Maduka ya dawa yangekuwa yanauza dawa ili upone basi Wawekezaji wake wangekuwa Maskini kwasasa, kama Benki zingekuwa zinataka kuhakikisha unakuwa Tajiri basi zote zingekufa kwasasa.
Na kama Wanasiasa wangekuwepo kwa ajili ya kutatua matatizo yetu nani angewachagua tena, hata Tom angemuuwa Jerry basi ile katuni pendwa ingeishia palepale, kama Mwalimu yupo kwa ajili ya kutengeneza Taifa la kesho yeye asingekuwa analia shida.
Kila kitu kwenye maisha ni nusu nusu, its all a big show everything is fake.
MKULIMA.
Nakuletea vyakula asili zaidi ya [5] Na mbinu zitakazo kusaidia kurejesha urijali bila kutumia dawa ya aina yoyote ile kwa muda wa siku 14 Tu..!
Share,, kunasua vijana katika uraibu wa madawa ya nguvu za kiume...๐
UZI....๐งต
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa,
Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili?
Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati. Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure.
Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana. Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa.
Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji?
Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake.
Hautosonga mbele
Mungu hatakubariki kwa kile unachofanya. Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako.
Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum?
Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima?
Ulikutana nae mitaani?
Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae?
Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu. You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices.
Ni bora mkewako akuulize kwamna
"what have you ever done for me?"
Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawatazikataa.
Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha??
Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako?
Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika.
Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani.
Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary,
Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake.
Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako.
Usilipe ada zake
Usimlipe kodi.
Ngoja nikuambie.
Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea.
Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayoyapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo.
Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake.
Yeye hatokulisha wewe.
Wewe ndiye utamlisha.
Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako
Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake
Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi.
Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kutombewa
Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi
Nimemaliza.
BLUE MONDAY AFYA TIPS REPOST & BOOKMARK WE GO...๐ช
Maziwa ๐ฅโ Hamu ya Tendo la ndoa.
Almonds & Karanga ๐ฅ โ Testosterone.
Vitunguu saumu ๐ง โ Sumu mwilini.
Maji๐ฆ โ Kwa Ajili ya Figo!
Mayai ๐ฅโ Kwa Ajili ya Ubongo ๐ง !
Carrots๐ฅ โ Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi ๐โ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage ๐ฅฌ โ Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Afya ya Moyo ๐ซ!
Mazoezi exercise๐๏ธ โ Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani ๐ฅฆ๐ซ โ Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
NB: Kila hatua unayochukua kwa ajili ya afya yako ni uwekezaji katika maisha yako ya baadaye. Join us free link kwenye bio.
THANKS TO BE WITH ME THIS MORNING ๐ฉบ
Ndizi ๐ -> Kwa Ajili ya Kuboresha Afya ya Moyo!
Apple ๐๐ -> Kwa Ajili ya Kusaidia mmeng'enyo wa Chakula!
Chungwa ๐-> Kwa Ajili ya Kuboresha na kuimarisha Kinga ya Mwili..!
Papai -> Kwa Ajili ya Afya ya Ngozi na Macho (Ina Vitamin A na C)!
Matunda Kamasi ๐ -> Kwa Ajili ya kupungua Hatari ya Magonjwa ya saratani!
Embe ๐ฅญ-> Kwa Ajili ya Afya nywele!
Zambarau -> Kwa Ajili ya Kuongeza Uzito!
Strawberries ๐-> Kwa Ajili ya Kupunguza Hatari ya Ugonjwa wa Kisukari!
Zabibu ๐-> Kwa Ajili ya kuzuia uzee wa Mapema!
Tikiti Maji ๐ --> Kwa Ajili ya kufanya Mwili uwe hydrated!
Nazi ๐ฅฅ --> Kwa Ajili ya kudumisha viwango vya Cholesterol!
KuRepost ๐ --> Kwa Ajili ya Kuwasaidia Wengine!
Dunia Imebadilika Sana
โSasahivi Watu Wanasukuma Ndinga Kali na Wanaishi Kwenye Apartments Kali Kwasababu ya Vitu Hivi 3 Tu
1). Laptop/Smartphone
2). Internet Connection
3). Ujuziโฆ(Skill)
PS: Ua Kiburi cha VyetiโIngia Mzigoni Kujenga SKILL Mpya
Kitu Ambacho Wanaume Huwa Tunachelewa Kuelewa ni Kwamba:
Mwanamke Ambaye Yupo INTERESTED nawewe Atafanya Kila Kitu ili Kukutengenezea Mazingira Rahisi ya Kumpata
โฆukiona unatumia Nguvu Nyingi na anaruka rukaโSheโs not INTERESTED
Usipoteze Muda wako!