Wanasema Dunia ina reward wanaofuata sheria za Mungu na za wanadamu, lakini mara nyingi ina reward zaidi watukutu, wale wanaothubutu kuhoji kanuni zilizopo, kupinga mazoea na kuvuka mipaka ya fikra za kawaida.
BABA anatamani kukupigia simu kukwambia changamoto za nyumbani lakini ana hofu atakutia tu unyonge maana huna msaada.
MAMA anatamani kuchangia mjadala na wenzie kuhusu mafanikio ya watoto wao ila moyo unakuwa mpweke.
Tuna madeni mengi ila hili ndio DENI KUBWA, Tulilipe Kesho💪
Nilimtongoza mama mmoja akaniambia wew sinakuzaa nikasema nikweli ila upendo na hisia uwezi vizaa 😅😅😅 akasema basi njoo ofisin uniambie live nikuwa nakuona nikafika akamtoa nje kijana wake kwamba pisha tuongee siri za kikubwa 😳😳😳 nikamwambia Ant Leah me