Hawa vijana wawili @Aboumosh255 na @bright_ludwig niliwapa Amri wafute machapisho yao yaliyolenga kutweza utu wangu na kunidhalilisha mbaya zaidi walikaidi amri hiyo.
Hivyo basi nimeamua kuchukua hatua stahiki kwenye vyombo vya sheria waadabishwe ili wawe funzo kwa wengine.