@chapo255@Zephania_Ndaki Chupa moja kubwa sana na ile unakunywa moja tu unalewa sio bia za saiv mtu anakunywa 12 na halewi bia zilikuwa zamani enzi hizo safari inaitwa mwanamke nyonga
Hivi kwa nyie Malaika wa TL mkishaandika uongo au vitu visivyo vya kweli kuhusu watu wengine huwa mnajiskiaje? Like unaanza kusoma comments ukifrahia au unazima data unaenda kunywa bia fresh kabisa sio?
@MtwaMng@spana_Konki Kila mwanmke ni mzazi wa mtu, ukihisi mzazi wako anahitaji kuheshimiwa basi heshimu wazazi wa wengine pia. Kila inayoenda lazma irudi