Waliopo Dar es Salaam wamekushuhudia leo mahakamani.
Walio mbali na Dar es Salaam, pamoja na wale walioshindwa kufika mahakamani, wamekuona kupitia TV na mitandao ya kijamii.
Na wasio na uwezo wa kufuatilia huko, wameambiwa tu kuwa leo ulikuwa mahakamani.
Ninachotaka kusema ni kwamba kila wananchi wanapokuona au kusikia hata sauti yako, wanapata furaha, hamasa na matumaini mapya na makubwa.
Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda, hasa afya yako iendelee kuwa imara, akupe moyo wa ujasiri na akuondolee hofu ya kukata tamaa.
Mitaa inaimba jina lako comrade🫡