@Twaha_Mwaipaya Hana uwezo wa kuwashughulikia majambazi aliowakabidhi ofisi za umma.
Ni mahiri sana kuwakamua wasionacho name anaogopa Sana kuwabana wenye nacho ili walipe kodi kwa maendeleo ya #WenyeNchi
Walipa KODI tungekuwa tunajielewa hata kidogo tu, tungegoma kulipa KODI mpaka haya MAJIZI yanayotafuna KODI zetu yazirejeshe na kuhamishwq uraiani kwanza.
@fatma_karume Shangazi hata kama unanufaika na usagaji si vyema ukaunga mkono kwa faida ya vijana wa nchi hii. Siku ukipata mtoto wa kiume utajisikiaje ukigundua anajinywa na wanaume!?
Kuwa na huruma bwn, WE CAN SURVIVE WITHOUT US 100%
Kwahiyo Tanzania kuna NGO’s ambazo zimesajiliwa kabisa na kazi yake ni kutengeneza mashoga na kupromote ushoga na Serikali ipo kimya?
Ndugu zangu, tuombee sana vizazi vyetu, huko ground hali inatisha mno, tatizo ni kubwa kuliko ambavyo tunadhan.🥹
Appreciation tweet kwa Maboss hawa wawili wamewekeza pesa zao kwenye Timu najuwa kuna changamoto nyingi wanakutana nazo kwenye uendeshaji lakini hauwezi kusikia wanaongea mitandaoni, hata kwenye maisha iko hivyo sio kila changamoto unatangaza kwa watu kuna njia za kutatua.
Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro amesema kuwa Katiba Mpya ni hitaji la Watanzania na wasipopewa hawatawaelewa viongozi wa wizara hiyo.
Dk Ndumbaro ameyasema hayo ja 24.3.2023 jijini dodoma wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria
Unapoamka jipanga tembea kifua mbele, tazama watu usoni, ongea kwa kujiamini, na kuwa shapu jiandae, kushawishi wateja, ma boss, hata watu mitandaoni jiandae vinginevyo utakuwa mtu wa kuwa na siku mbaya
Sahau ulivyokosa jana leo ni siku mpya fanya tena rudia tena kwa ujasiri✍️
Rais wa Marekani (Joseph Biden) aliingia kwenye kumi na nane (18) za wanajeshi wastaafu wa Marekani ambao walihusika katika vita vya Iraq na Afghanistan.
Unajua Kilichotokea?
👇