Sasa ni saa tano na nusu Usiku, Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn anaendelea na Kikao na Viongozi na Wanachama Mkoa wa Iringa.
Hakuna kulala mpaka kieleweke.💪
Nyie @tanpol hamna cha kujitetea mmeua hadi kituoni
Hii kesi ya matumizi ya Ketamine imekuwa jambo la kawaida mnaitumia kama vile mmeruhusiwa kisheria
Kesi hii ya Mtwara imetupa vizuri picha ya mateso mnayopitisha watanzania
Na mkome kusema sisi ni wachohchezi wakati mnachochea chuki dhidi yenu wenyewe!
#TutaelewanaTu
This case is about police officers who illegally injected a suspect with Ketamine then beat him senseless until he died! This is how police in #Tanzania operate - with IMPUNITY
These officers were caught and tried in court but it is the exception not the rule! It is a MESS!
#SamiaMustGo
Machawa chali 😁 Yaani picha hii wakaenda kumwuzia kimama kuwa sasa mambo safi Marekani kumbe mzee wa Msoga anapiga stori za South Sudan! Naona wamarekani wamekata mzizi wa fitna!
#TutaelewanaTu
How it started…. How it’s going…
Tuliwaambia kwamba u-sisiyemu ndiyo unaoiumiza nchi na kuharibu amani yetu, lakini hamkutuelewa.
Angalia hii picha hawa ni vijana wa Green Guard ambao hatujui kama wanatambulika rasmi na mamlaka za usalama au lah,
Hapo wanapewa mafunzo mbele ya kituo cha polisi mchana kweupe na hatuna kitu cha kuwafanya
lengo ni kukabiliana na maandamano yaliyopangwa kufanyika kwa amani tarehe 7/7
Uovu unaofanyika katika nchi hii unatekelezwa na masisiyemu ni ngumu sana kuwatenganisha sisiyemu na maovu ya nchi hii🚮
Acheni kujisafisha baada ya vikwazo kunukia! Mnamwinda Gwajima na Father Kitima hadi leo ya nini? Mliteka na kutesa hadi watawa?
Uongo wenu unadhihirika kupitia vitendo na tumehakikisha kila kitu kiko on record
Safari hii mmeyatimba!
#TutaelewanaTu
Hatutakubali kutishwa au kufanyiwa gaslighting!
Maandamano ya amani si uhalifu na hauhitaji kibali bali taarifa!
Taarifa imeshatolewa sasa wadhalim wakae kwa kutulia wananchi watoe maoni yao kwa uhuru kupitia maandamano ya amani!
Na tusikubali kuchokezeka! Wao waseme yote ila niaminini safari hii hawawezi kutoa bastola na silaha hadharani kuua! Wanajua dunia inawatazama na pesa hawana wanasubiri akina Who are You waachie
Sisi tuendelee kubana nje na ndani!
Maandamano ni haki
Tunadai haki za #MO29 #FreeTunduLissu na #KatibaMpya
Haya maandamano si ya kwangu, ya Mange ya @Rachel17D@nuruvazi@HildaNewton21 na hatutakuwepo na watanzania wanajua lakini watatoka kwa maelfu!
Haijawahi kuwa maandmano ya mtu yeyote! Sema CCM wanakataa uhalisia na wanaona watanzania ni wajinga hawana maamuzi eti hadi sisi tuwaelekeze! Matusi! CCM hawawezi hata kumshawishi mtoto mdogo kula 😁 wamechokwa kila kona!
Ni maandamano mengine tena ya wananchi wakiongozwa na vijana al maaruf Gen Z! Tusiogope!
Tusimame Pamoja 💪🏽🔥#SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Tumewaonya sana mkatuita wachochezi!
Vijana wa #Tanzania wamechoka na wamewachokeni madhulmat! Kutwa mnawakamata mnawatesa
Wao wako mamilioni - wakigundua kuwa wao ni wengi kuliko ninyi mnafikiri mwisho wenu utakuwa mzuri?
Leo Arusha mmeonja joto la jiwe @tanpol na watekaji! Acheni huu upumbavu wa kamatakamata! Mnapeleka nchi kubaya!
Sitachoka kuwatahadharisha! Hivi kuna mwenye akili na ujasiri kwenye mfumo anayeweza kusimamisha huu uendawazimu?
#TutaelewanaTu
Young man resists brutal illegal arrest/ abduction and others stand up to police brutality in Arusha today! Tanzania is headed down a disastrous path with Samia Suluhu - a complete collapse of rule of law and the economy! Hear ye! Hear ye!
That is why #SamiaMustGo
Tuko dakika za majeruhi kushinda hii mechi ya wazalendo vs madhalimu CCM
Kila mzalendo achukue tahadhari ✊🏽
Tuhakikishe tuna-survive tuje kunywa supu ya kuku wa kienyeji na Mjahid @mjahidmjahid80 😁
Najua mmenielewa
Haya sasa TUPAMBANE 🔥
7/7 #TutaelewanaTu#SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Ukikutana na kiongozi wa CHADEMA , wowote Yule kama una chochote kitu msapoti kwa kumtia moyo mchangie hata nauli au petroleum hata lita moja , jamaa wanatupigania sana hawa, wengine hata biashara zao wameacha kwa sabab ya haki kudai 🙏🏻
Kazi inaendelea🙏next week kinawaka… keep praying🇹🇿
Those who care for my people are my people. Tonight, at the Georgia Liberty Ball celebrating America’s 250th Anniversary, I had the privilege of briefly sharing Tanzania’s story and shaking hands with Congressman Rich McCormick, Secretary Doug Collins & many others… yaani kila opportunity, we shall push truth.
I carried with me the names and hopes of those still waiting for justice-the families who lost loved ones, those imprisoned for their beliefs, those silenced for speaking the truth, and the many Tanzanians who continue to pray for freedom, accountability, and justice .
I will share more moments, but tonight, tupo sawa na ushindi 🙏🏾🇹🇿🇺🇸
As Atlanta welcomes the world through the spirit of the FIFA World Cup, kicking on Monday -may we remember that while we cheer under different flags, our humanity is shared. Unity is not the absence of truth-it is the courage to stand together in defense of human dignity. We are smiling but we are crying for justice na tutafika. We will speak to all who are willing to listen.
Justice matters.
Freedom of expression matters.
Religious freedom matters.
Human rights matter.
Tonight reminded me that one conversation will open more doors, one handshake will build more bridges, and one voice can carry the hopes of many.
We will keep showing up. We will keep speaking up. We will keep praying. Until truth is acknowledged, accountability is pursued, and justice prevails.
🇹🇿⚽🇺🇸🙏🏾
#America250 #GeorgiaLibertyBall #WorldCup #Atlanta #JusticeForTanzania #HumanRights #ReligiousFreedom #TruthMatters #OneHumanity #FaithInAction
Vifaa tiba vya zaidi ya Sh milioni 137 kukaa stoo kwa muda mrefu ni gharama kwa wananchi waliokuwa wanahitaji huduma hizo kila siku.
Fedha za umma zina thamani pale zinapobadilika kuwa huduma, si zinapobaki kwenye hesabu za manunuzi pekee.
#RaiaMakini@policy_F
Masuala ya kiuchumi yanasukuma wananchi kuwa na hamasa ya mabadiliko, Moja, wananchi wanauliza thamani ya fedha kwenye miradi na matumizi kwenye taasisi za umma, Moja ya swali ni magari ya kifahari na miradi isiyo na thamani ya fedha #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Huyu ni mpumbavu na aibu kwa jeshi la polisi.
RPC asiyejua sheria ataongozaje eneo alilokabidhiwa?
Sheria inataka taarifa za mikutano zitolewe kwa OCD. Amuulize OCD wake kwanini hakumpa taarifa.
Hata hivyo kufungua vizimba na mikutano ya ndani ni kazi za kawaida za vyama.
Unaacha kueneza ajenda za chama chako unajigeuza msemaji wa CHADEMA, Chama kilitangaza kufanya mikutano ya hadhara kukiamsha chama baada ya kufungiwa kwa siku 300+ pia ajenda za mikutano hiyo ni #FreeLissu#OperasheniKatibaMpya acha porojo
Pia hiki ni chama cha siasa kinaendeshwa kwa utaratibu na endapo kikataka kuitisha maandamano Ibara ya 20 ya Katiba inalinda uhuru wa kukusanyika na kujumuika kwa hiyo maandamano ya amani sio kosa la jinai ni haki ya kikatiba