@PaschalGb@athanas_pius Rwanda wamelipia badge ya โvisit Rwanda โ kwa timu zaid ya 3 ulaya ila hatujawahi kuona izotimu zikija rwanda na Rwanda inakuwa promoted
@lifeofmshaba Daniel 5:24-31
"Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa. Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
@mshambuliaji Hili jeshi lipo kwaajili ya politicians sio citizens yan wana wasingizia wanachi wao wenyw ? basi bora wangewakamata hao waliopanga tuwaone maan ukiskia tu unaon ni stori tu imetungwa
@mangekimambi Tunaomba ufunguwe backup account we need your support kuelekea 9 December dada wataifa
Kipindi unawachek instagram hili waachie Account yako