Juzi memuona nimemkumbuka Tanzania hajawah tokea mtu kam huyu 🤣
O level Tanzania One
A level Tanzania One
University (UDSM) Best student
Dr Martin Chegere
Naomba kuuliza hili swali. Hivi TRA wanakata kodi kwenye mapato yako yote ama kwenye faida yako?
Mfano: ninatoa huduma ambayo mteja analipa 100000/ lkn gharama za huduma hiyo ni 80k. Mm napata faida ya 20k. Pekee je kodi inakatwa kwenye fedha ipi?