Jizoeshe kuamka mapema hata kama huna mchongo!!kama una jero nenda zako hata kwenye kijiwe Cha kahawa zuga zuga....huenda Kutoka kwako ndiyo kukutana na mchongo wako!!
JICHANGANYE ✍️
@INFLUENCERjr Kwa hiyo Rashid alitaka Cow Bama achane kwa speed kama yeye,ndiyo aone kwamba Ngwear ni mkali?😂😂Ukisikiliza Ghetto langu Ngwear alivyotembea mule,na hiko anachokisema Chid, unamuona Ngwear yule yule tu,haya yote yanasemwa kwa sababu mchizi ni Marehemu,hawezi kujitetea🚮
Sisi Mashabiki wa Messi hatuna nongwa, ila tukiona Babu Nado analia😭 baada ya kipenga cha mwisho... ndiyo dessert yetu. 🫵😂😂
Namuona Lemin Yamal akimvua nguo Goti Mwitu Leo 🫵😂
Ni wakati sasa wenye NGUVU na GHUBU,mjiulize tangu mmeanza kuwatisha watu,je watu wameufyata mkia ,au ndiyo kama mmemlisha pilipili Kichaa mwenye Kichaa ?🤣
Nimalize kwa kusema;
"AMANI IWE NANYI|UPENDO UWE NANYI "
~Jay-Go
🚶WENYE NGUVU|PUNGUZENI GHUBU🗣️
Amani ya kweli hujengwa kwa kusikiliza,wala si kwa kuwatisha wanaouliza maswali.
Cheo kikijazwa mimba ya uwajibikaji,utu na haki,basi mtoto atakayezaliwa ni AMANI na UPENDO 🫵
Mwenye nguvu huonekana zaidi kwa busara kuliko kwa vitisho,
Nikimnukuu Mwanamuziki Mkongwe wa Hip hop Nchini Tanzania,Fareed Kubanda A.K.A Fid-Q aliwahi sema "Kadri unavyomzingua Paka 🐈 Huzidi nyanyua Mkia "🔥
Nukuu hii inasisitiza kwamba,BUSARA ya Mtu yeyote yule,
Haiko kwenye kuzungumza au kukaa kimya pekee, bali kwenye uwezo wa kutambua wakati unaofaa kwa kila jambo🫵
#DarkSideLogic#JayGoThoughts
Talk or be Quiet
Kwenye Boxone ya Mullaobbo, Kuna mstari anasema "Hata washkaji tukikutana,lazima Utani na jokes "
SWALI 👇
Kwani Utani na Jokes,ni vitu viwili tofauti wakuu?🤔
#SiyoKwaUbaya 🫵