@azamtvtz kwanini kwenye matangazo yenu mengi lazima watu wakimbieππ..?
1. Azam pesa na Tanzania Postal Corporation campaign - Ilipo tupo watu wanakimbia.
2. Azam TV - Mzigo umeshuka bei watu wanakimbia.
@azamtvtz kuna uhitaji mkubwa wa kuongeza awareness kwa watazamaji wenu pendwa kuelekwa michuano ya AFCON 2023. Kama ambavyo zinakuwaga promo za Vitasa, Tamthilia Mpya na Kariakoo Derby. Still kuna uhitaji wa kufanya ivo juu ya mashindano aya.
#AFCON2023