@amanigolugwa Target mpate wanachama/wapenzi wa CDM angalau milioni mbili na kila mmoja aweze kuchangia TZS 1,000/= tu kwa mwezi. Mtapata fedha za kuwasaidia kuendesha chama na shughuli nyingine. Inawezekana
Tunaposema maeneo kama Tandale, Mlalakuwa, Mabibo, Manzese, Mwananyamala na mengine yajengwe upya, tunamaanisha mabadiliko ya aina hii yanayoonekana kwenye video hapa chini.
Cha kufurahisha zaidi ni kwamba Serikali tayari imeanza utekelezaji wa mpango huu, ambapo pilot study itafanyika katika eneo la Makangira, Msasani. Huu ni mwanzo wa mageuzi makubwa ya upangaji miji na makazi ya kisasa jijini Dar es Salaam na nchi nzima kwa ujumla.