Yanga Wamekuja na Waraka!
Sijui mnatuelewaaaaa? Maelezo ni page mbili kumbe kulialia!
Uzuri Yanga SC hamjawahi kushinda kesi yoyote! We know you guys.
Hii kesi hata nikiisimamia mimi against Yanga SC, nashinda mchana kweupe.
More: โคต๏ธ
@NIDA_Tanzania@lugfather@WizaraMNN Kama bado kuna kwenda ofisi za serikali za mitaa alafu kuja tena ofisi zenu za NIDA,mbona bado swala la foleni litakuwa pale pale?
@lugfather@WizaraMNN Salaam Ndg. Jaza taarifa za uraia, umri, n.k kidijiti kisha printi fomu na kuipeleka serikali ya Mtaa kuhakiki makazi, iwasilishe NIDA ili uhakikiwe Uraia kwenye dawati la Uhamiaji ndipo kwenye dawati la NIDA utakamilisha Usajili kwa kuchukuliwa alama za Kibaiolojia. Shukrani.