@_itsrealprosper@Iam_Malunguja Kwenye udaktari wenu hamkusoma saikolojia ya wareja wenu? Kama mlisoma na mnalalamika nyie ni madaktari wa mchongo kama hamkusoma basi kuna gap katika mitasla ya udaktari. Kiufupi clients/ patients wana tabia mbalimbali zote hizo hupaswi kuzishangaa kikubwa ni kuzidi kuwaelimisha