@HKigwangalla Huna lolote njaa ya madaraka tu, we know you in and out wewe ni power monger uko tayari kufanya lolote just for power, brother be humble madaraka ni God given usiforce vitu
@HKigwangalla@SimbaSCTanzania Wewe siyo mjenzi Bali mbomoaji epuka kuwa opportunist na kutumia fursa ya crisis ya matokeo mabaya katika timu! Don't harness opportunities for your private gain, Hauna mapenzi na Simba na Nia yako tushaifahamu mbona wewe umedhulumu watu wengi tu katika biashara zako Nzega,