UBELGIJI YAUNGA MKONO AGENDA YA NISHATI SAFI - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko, amesema ili kupata maendeleo ya kweli, Tanzania inatoa kipaumbele katika matumizi ya nishati ambayo itawawezesha kupata maendeleo endelevu.
Today, as we celebrate Mother's Day, my heart is filled with gratitude and love. To my mother, the shining light in my life, thank you for your endless love, wisdom, and strength. You've shaped me in ways words can not explain, and I am forever grateful. Happy Mother's Day... I love you more than words can say.
And to all the women out there, whether you're a mother, a mother figure, or playing a nurturing role in the lives of those around you, I wish you all the joy and happiness in the world. Your strength, love, and sacrifice do not go unnoticed. we celebrate you and the incredible impact you have on our lives... #HappyMothersDay2024
Rais Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuingizwa kazini wakati wa Ibada Maalum iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
‘Karibu’
To all delegates, esteemed leaders, and valued stakeholders in the agriculture sector,
As the host country of the Agricultural Green Revolution Forum (AGRF) summit, it is with great pride and anticipation that we welcome representatives from all 70 participating nations. This year's summit carries a theme of utmost significance – "Transforming Food Systems"
This theme encapsulates the shared commitment and collective responsibility we bear in revolutionizing our food systems to meet the challenges and opportunities of the 21st century.
You have been like a father to me , i just wanted to let you know how much i appreciate you . Happy birthday Mwamba Edward Lowassa @robert_lowassa@edward_lowassa
Happy Birthday Doyen .... Sisco, Don, More life mzee wangu... we miss you ..... Tanzania inajua na wewe unajuaa na walio kuwa washindani wako thy know hawajawahi kukushinda. Ishi sana Mzee wangu Lowassa. Umefungua milango kwa wengi...... One day i wll write the story about 2015 election the untold story 😎
@robert_lowassa Big Birthday Blessings to them (To be precise his Excellence Sir. Edward), Mungu aendelee kumpigania na kumuongeza Baraka yeye, Mama na Familia. Ukawe mwaka mwingine wa Kuongezeka zaidi. With Love from Arusha.
@robert_lowassa sema neno moja, Waweze kudeliver 🥃Around Sakina Mkuu
(2/2)
Nilipata pia wasaa wa kukutana na mjukuu, Georgina Magesa mwenye umri wa miaka minane, mwandishi mdogo wa vitabu mwenye ndoto ya kuwa Rais. Mungu amkuze yeye na mamilioni ya watoto wa Kitanzania wenye ndoto mbalimbali, awanyooshee, wafike pale wanapopakusudia. Serikali inaendelea kutekeleza jukumu lake la kujenga miundombinu kwa kila mtoto wa Kitanzania kufikia ndoto zake, lakini pia ni jukumu la kila mzazi na mlezi kuweka kila juhudi katika kujenga Taifa la watu wenye uthubutu na kujiamini kuanzia ngazi ya familia.
Ni vyema taarifa za aina hii, za kumsema mtu ambaye hayupo kujibu (kukanusha au kuthibitisha) ziambatane na uthibitisho. Enzi hizi za mitandao kila kinachaondikwa kinaaminika kuwa ukweli.