@msosiplease@dalalikiongoz Sema ni mindset ya watu,,,Mm nachojua hakuna kilaza mwenye vyeti,,,Elimu yetu imebase kwenye ujuzi na vyeti kama mtu alifeli na akapitia maybe certificate paka baadae degree..then akawa doctor kwann usimuamn kukutibu.. sema watu bado wana notion yakufeli 4 ndo umefeli maisha
@dalalikiongoz Oviace its a waste of Time. Yupo sahihi kupitia diploma its a way forward technically kuelewa na kua deep on what you want to opt na hata employment ways. Cheti cha diploma kina value kwenye employment market rather than cha form 6, kimekua pamboo tuu
@MinaniJoel@privaldinho Hahaha cha muhimu ana degree na ni msomi ndio,, sasa utamfananisha na mtu aliepata 0 form 4,, Tanzania hii kupata cheti ndo kila kitu sio performance 🤣🤣 darasani...maana siku hzy maisha getting good grades imekua ni feeding ego kuliko faida
@johnsenior16@iamsalumally Kabisaa,,kizazi hiki cha kwetu ni kivivu sanaa cha kusoma nakufuatilia mambo , na kiukweli they are not good listeners.. Mfano Mtu maana ya "Recarnation" unakuta hajui anadai kusema uongo🤣🤣🤣
@Ntobi_@zittokabwe@PrecisionAirTz@SuluhuSamia@freemanmbowetz Hahaha kweli nimeamn black race ,,sisi hmm just let it be makasiriko yote haya kisa kuproove an innocent kid fraud!! Bali tungesisitiza kwenye uzembe wa vyombo vya uokoaji na facilities kua hafifu ,ndugu zetu wamekufa kizembe tunaongelea fraud of a kid #😃blackrace#
@godbless_lema A blessing is a blessing,,😄 the kid amepokea neema amesaidia kwa upande wake,,kama ingekua hvyo asinge zima na kuwaishwa hospitali .. issue ni kujitoa kwa ajili ya watu wengine ni kitu ambacho kwa miaka ya sasa hakipo.. Sema na wavuvi wengine walibidi pia wapewe pongezi
@ekdar_muslim@bob_mchelsea Well sio copy and paste😄😄 on the contrary!, kama unasoma Comic books na unaangalia animations ndo utaelewa, ila Black Adam has the same strength and capabilities like Shazam tena far superior. He is a guy that rivals superman in power😁
"Sasa hivi GDP per capital yetu inakadiriwa mwishoni mwa mwaka itakuwa dola 990 tumerudi chini tutaenda kwenye kundi la nchi maskini kufuatana na viwango vilivyowekwa na Benki la Dunia, tusiongelee uchumi wa kati hatuko huko tena, tumeshuka,"- Prof Muhongo
#Bungeni#EastAfricaTV