@PresenterNoah Hili sakata lilikwamishwa na yanga baada ya kupeleka kesi CAS ikabidi mamlaka za kinchi zitulie baada ya kesi Ile wameenda mahakama ya kiraia Tena
@Geoffrey87Lea Mkae na kijana wenu yule Hans Rafael mmfundishe kuufatilia mpira bila mihemko na aache kelele kabisa watu walimwambia yeye akawa anakaza shingo kwa ubishi