Historia ya Uingereza na mataifa ladhaa ya Ulaya wakati wa Ukabaila(Feudalism) inatufundisha kwamba: NI HATARI SANA BUNGE,MAHAKAMA NA SERIKALI KUONGOZWA AU KUWA NA MATAJIRI NA WAFANYABISHARA.
Ni hatari sana.
@Labella_Mafia95 Sitaki ni hukumu.
Lakini kabla ya kufungwa kwa R.Kelly nilidhani wanamsingizia.
Lakini baada ya kuhukumiwa na kuanza kutoa nyimbo akiwa gerezani nagundua ni kweli alifanya.
Hakuna ustadi wa kugundua ukweli kupitia sura.
Uwenda P.Diddy ameyafanya
Mbowe
Lipumba
Mbatia
Marehemu Mrema
Cheyo
Mzee wa Ubwabwa
….
…..
Yawezekana kuna stori hatutawahi kujua kuhusu upinzani. Ni wa kweli ama ilikuwa sehemu ya dola kuonyesha tuna mfumo wa vyama vingi wapate misaada.
Mabadiliko ya CHADEMA mfumo UMEFURA. Tulikuwa MATEKA
@zittokabwe Kama unalijua hilo kwa nini umewatumia sana kama chombo cha burudani?? Hapo makao makuu umewala wangapi kama unalijua hilo?
Na unakumbuka safari moja ukiwa Morogoro ulipotembea na yule dada ambaye ulimpima na kipimo chako?
Mungu wa Mbinguni umeendelea kutupigania kila siku pamoja na madhambi yetu!
Tunakuomba Mungu uliyetenda kwa @TunduALissu , Mungu alijiinua na kutenda kwa @Sativa255 , tunakuomba M/Mungu ukanyooshe mkono wako kwa @mdudenyagali wewe Mungu hakuna unaloshindwa tenda kwa mdude🙏🏿 🙏🏿
5. ALI KIBAO alishushwa kwenye gari mchana kweupe, watu wanaona Tegeta katikati ya Barabara baada ya siku kadhaa unapatikana Mwili wake tayari ameishauwawa!! Kwasasa ukiwa Chadema ni Kama unajipa Tiketi ya kufa haraka, Mzee huyu ni Baba wa Familia serikali ya ccm inaua hadi wazee
Ni bahati mbaya kuwa katika pilikapilika za kuungana na Watanzania huko field katika operesheni ya #NoReformsNoElection kanda ya Victoria, sikufanikiwa kuona kwa wakati taarifa hii ya @tanpol. Lakini baada ya kuisoma, nimesikitika na kushitushwa sana.
Taarifa hiyo haioneshi wala kusadifu taaluma ya ulinzi na usalama—badala yake, ni jaribio la kutisha wananchi. Mnawaonya watu kwa kosa la kuwataja wahusika wa uhalifu, eti kwa sababu wanaotajwa ni askari? Huu ni uthibitisho wa wazi kuwa mnalindana, na kwamba baadhi ya askari wenu wanahusika moja kwa moja na utekaji, mateso, na vitendo vya kinyama dhidi ya wanachama na wafuasi wa @ChademaTZ2.
Tuna maswali ya msingi ambayo mnatakiwa kuyajibu, si kuyakwepa kwa vitisho:
Yuko wapi @MdudeNyagali?
Nani alitaka kutoa uhai wa Padre Kitima?
Soka na wenzake waliitikia wito wa polisi—mbona wamepotea?
Chaula yuko wapi?
Dioniz Kipanya alikosea wapi hadi apotee?
Orodha ni ndefu mno. Badala ya kutoa taarifa ya hatua za kiuchunguzi au kuwafikisha mahakamani wahusika, mnaishia kugeuza kibao na kuwatishia wananchi wanaotafuta ukweli. Hilo halikubaliki.
Jeshi la Polisi Tanzania lazima litambue kuwa:
Wakati wa ukimya umeisha. Watu wameamka. Ukweli utaendelea kusemwa, hata mkijaribu kuuzima kwa nguvu na hofu. Tunahitaji polisi wenye weledi, si jeshi la vitisho wala la kulindana.
#FreeTunduLissu
#FreeMdude
#NoReformsNoElection