Leo KC @SemuDorothy amewakabidhi rasmi majukumu yao Waziri Kivuli wa Uchukuzi, Ujenzi na Miundombinu, @MtuturaAbdallah; Waziri Kivuli Kilimo, Bazililo Mbwilo; Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Ndugu Rashidi Ali na Naibu Waziri Kivuli TAMISEMI, Ndugu Bakari Shingo.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Waziri Kivuli wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, @rizikishahari; Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, @ayo_shangwe; Waziri wa Kivuli wa Maliasili, Utalii, Utamaduni na Michezo, @Ntobi_; Waziri Kivuli wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, @abdulnondo2; Waziri Kivuli wa Maji, @CornelySinta na Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu, @MtuturaAbdallah.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Uzi
Leo Juni 12, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy ameongoza kikao cha @ACTBarazaKivuli Jijini Dar es salaam.
Pamoja na mambo mengine, mawaziri vuvuli wamekabidhiwa rasmi majukumu yao "Instruments" na kupitia Bajeti Kuu za Serikali ili kutoka na uchambuzi wake.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
"Tumefikishwa hapa pia na kuongezeka kwa mbinyo wa uwanja wa kisiasa na kiraia ikiwemo ukandamizwaji mkubwa wa haki za kiraia kama vile uhuru wa habari, haki ya kuabudu, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuchangamana n.k."
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo@othmasoud#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#MjadalaWaKitaifa
"Heshima ya Tanzania kwenye majukwaa ya kimataifa imeporomoka. Sasa tunajadiliwa kwenye majukwaa ya kimataifa kama vile UN, EU na Jumuiya ya Madola kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na kupunguza ushawishi wetu wa kimataifa."
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo@othmasoud
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#MjadalaWaKitaifa
"Tutaendelea kuwahamasisha Wananchi wawe ni sehemu ya mapambano haya! Wananchi wakiwa tayari kulinda haki zao, hakuna jeshi ambalo linaweza kukabiliana na hawa wananchi."
Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara
@MchinjitaIR#ACT2026#UkweliHakiUwajibikaji
"Tunaendeleza msimamo wetu wa kuikataa Tume ya Jaji Chande na Ripoti yake. Kwa sababu tume hii iliundwa kwa ajili ya kuwasafisha wahusika wa mauwaji ya Oktoba 2025 badala ya kuwawajibisha."
Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara
@MchinjitaIR#ACT2026#UkweliHakiUwajibikaji