Law Suit coming! Trust me l, I'm going all in on this one, nyie si matapeli na hao customer care wenu mnao wafundisha kusema uongo. Twende kazi! @airtel_tanzania
Wazee wako hapa now, kwenye divide and rule and wanafanikiwa kwa asilimia kubwa sanaaa. Inaniuma nikiwaona nyie activists wakubwa pia mna fall kwenye hii trap, achaneni na hizo mada aisee, wakifanya hizo press zao zipiteni kama hamzioni tubaki kwenye focus moja. Msizipe airtime!
@Twaha_Mwaipaya This is sad aiseee daaah. Soo Saaad. 😭. Mungu kama upo na unaona haya, tunakuomba ingilia kati baba, peke yetu hatuwezi🙏. Mtoto wa kiume nasoma hii kitu natokwa machozi, I know the pain aisee, I have a child on the way too. It pains jamani inatosha inatosha 😭
@MarekaMalili Watu wakigamboni hatuna shida mzee tunakutumia na chauffeur unakaa zako kwenye ndinga unakula kiyoyozi unakuja kula upepo mwanana wa bahari huku unasoma vitabu vya kijasusi✊
@Chiggscom Let me just add up my block list and pass in peace. Maana tofauti yenu na ibilisi ni majina tu ila tabia na matendo ni mulemule. Mungu awasamehe bure🙏
@JasperKido Kaka angu, tumeungana kwenye mambo mengi sana. Ila hili la kufatana na hawa jamaa wa CCM B nilikupinga from the get go. Mimi ninae kufahamu najua una nia ya dhati katika kutaka kuleta mabadiliko chanya kwenye siasa zetu, swali ni je hao uliokua nao Nia yao ni ileile!??
@Sativa255 Malcom X once said "It's either the ballots or the bullets". Wametunyima haki za kutumia ballots now we opt for the latter. Tutaftieni namna tutakayoweza ku defend ourselves then we move forward. Tutashinda!. #InOurLifeTime ✊
@YourFrenchFry Huku Kigamboni ni pakuhama aisee tunaweza tukajikuta tumeamka asubuhi tushauzwa kmmke 🤣 unaskia tuu mwaah tokeni kwenye mji wa Tunsu tafadhali 🤦
@Wakazi I don't agree with you on some things but today nakupa maua yako mzee, you are "a real one". You stand on what you believe in na huyumbishwi. You've used your platform very well unlike most of the other artists and we'll remember that. Thank you. ✊