Manchester United wamekubali kulipa kiasi cha Pounds £62.5M ili kumsajili Matheus Cunha🇧🇷 kutoka Wolves 🏴
Matheus Cunha Msimu wa 2024/25
🏟️Michezo alizocheza 34
⚽️Goals 17
🎯Assists 6
G/A 23 🔥🔥🔥🔥🔥
Awamu ya tatu ya mafunzo ya matumizi ya Kiswahili Fasaha na Sanifu kwa Maofisa Rasiliamaliwatu na Maofisa Utawala yatakayoanza tar. 09 Juni mpaka tar. 14 Juni 2025 katika hoteli ya Morena mjini Morogoro.
Shughuli imemalizika katika dimba la Mkwakwani, Tanga Wananchi, Young Africans Sc wametinga fainali ya kombe la Shirikisho la (CRDB FA Cup) kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye nusu fainali.
Yanga Sc imetangulia kumsubiri mmoja kati ya Simba Sc au Singida Black Stars watakaochuana kwenye nusu fainali ya pili ya FA Cup.
FT: Yanga Sc 2-0 JKT Tanzania
⚽ 41' Dube
⚽ 90' Mudathir
#KitengeSports
Leo nimegundua @ExMayorUbungo ana akili kubwa sana ya siasa sema hayuko kwenye Team Sahihi . Nadhani nahitaji kukutana nae kama kaka yangu kwa mazungumzo zaidi.🙏🙏
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030.
With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights.
The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent.
Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.
Alipotangazwa kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye nafasi ile ile aliyoshinda marehemu Dkt. Ndugulile baadhi walimbeza, wakamkejeli, wakaonesha hadi chuki za wazi kabisa na wakasema hawataki ashinde na hawezi kushinda. Leo uwezo wake na Kampeni bora zimempa Pro. Janabi ushindi.
Kutoka na ushawishi wa Dkt @SuluhuSamia kwenye siasa za kitaifa na kimataifa imesaidia Dkt Mohammed Janabi kushinda kwa kishindo nafasi hii kati ya kura 46 mwamba kazoa 32
Hongera sana Dkt Janabi
Asante Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiheshimisha nchi kimataifa.