Kwa wale wenye harusi au bata la Sikukuu ndani ya Jiji la Mwanza na Dar vimba na Discover 3 kwa bei ya kizalendo toka Jorafra Transport Agency Ltd
Tupigie 0738499978
#Ahsante#DIDAVITENGE Kunogesha na Wedding reception nasi.
Wakati naingia kwenye harakati za ukataji tiketi, sikuwa na mtaji mkubwa zaidi yenu nyinyi wadau wa kurasa za wanazi wa mabasi. Upendo wenu ni wa kipekee sana! π₯π§³
@NjiwaFLow Mfumo wa basi kinachowapa hasara sio mafuta kupanda ni uendeshaji,waliambiwa wawaajiri maajent kama wafanyakazi waaona hasara sasa Kuna gari Stand zinaacha Kwa wapiga debe 15k Kwa kila abiria ni hasara kubwa Kwa gari ya watu 57 unaacha zaid ya laki 8 stand.
@kirigitim Tatizo sio la johamvia ni la vendor wa mfumo wa kukatia ticket maana hizo arrival time and departure time kwenye hizo vituo anapanga yeye ndo maana anapewa timetable ya Latra kuangalia muda aliopangiwa.
Baada ya muda mrefu, Jorafra sasa tumerejesha huduma zake jijini Dar es Salaam
Tunapatikana Mabibo Mwisho, karibu na kituo cha mafuta cha Oilcom.
Tupigie:
π Simu: 0791 499 986
βοΈ Barua pepe: [email protected]
Karibu sana β huduma bora na za kuaminika zinakusubiri!