Waliofeli wanajua siri za kufaulu. Maskini wanajua siri za kuwa tajiri.
Muda mwingine si katika kujua na kufanya tu husababisha matokeo chanya.
Bali pia, hutegemea kufanya kitu katika namna fulani (sahihi), wakati sahihi na mahali sahihi.
Tsh 3,000,500/=
MODEL 🎯010-03199-01
WATCH 🎯GARMIN FENIX 8 PRO
🎯51 MM SILVER
☎️WhatsApp +255719068333
Guarantee (Warranty 1 Year)
FULL BOX 📦
REPOST yako usipite hivi hivi Mteja anaweza akawa kwenye TL Yako 🙏
@smagabe1999@IAMartin_@DavidMfugwa2 Ni ngumu kutimiza wajibu kwenye lawless country, huenda hapendi lakini maelekezo kutoka juu yanafanya watu waonekane wajinga hadharani
Si mnakumbuka?
Nilishawahi kupost kuwa tunazalisha mbegu za viazi lishe zenye rangi ya carrot kwa ndani
Leo nawakumbusha tena
Hata kama wewe siyo mkulima kama una mtu unamfahamu analima anaitaji mbegu/viazi vyenyewe siyo mbaya kuunga mkono biashara ya mtu muungishe na mzigo upo.
Kuelekea Baraza kuu la kihistoria..
Nimesikia sauti yenu, Asanteni sana Watanzania kwa upendo mkubwa.
Ushindi wetu uko karibu sana..
Msiogope, tutashinda.
Nimefurahi kuona vijana wanaanza kujibiana kwa shule.
Kajuna amekuwa anadeliver kile anachofikiri ni sahihi (jambo ambalo si baya) ila anapaswa kwenda deep kuhakiki fikra zake.
Kwenye hili angetembelea wenye Aquariums tu aulize ni kwanini wanapanda mimea hayo maeneo.
Ikiwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa, namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na afya njema🙏.
Kwa miongo 3 niliyoishi chini ya jua, nimejifunza haya mambo 15 kati ya mengi kuhusu maisha.
1(a). Kusudi la kwanini unafanya kitu chochote likiwa wazi, hakuna sababu yoyote iliyojificha inayoweza kuwa ‘Excuse kwako'.
1(b). Kuna muda tunashindwa siyo kwa sababu hatuwezi bali tunakosa Clarity of purpose.
2 (a). Ili KUTOBOA katika jambo lolote unahitaji mfungamano, "Alignment"; (i) Kifikra, (ii) Kiimani (iii) Kihisia, na (iv) Kivitendo.
2 (b). Kimojawapo kikikosekana husababisha mchakato kupwaya.
3(a). Kuna stage ukifikia, maisha yanakuwa ni wewe vs wewe.
3(b). Hauhitaji tena kujieleza, kutafuta approval, kutafuta kukubalika, ushindani, au kujaribu ku-fit in. Ni wewe na maisha. Hapo ndipo ukuaji wa kweli hutokea.
4. Mafanikio siyo TUKIO la siku moja. Ni MATOKEO ya mfumo, tabia na kanuni unazorudia kila siku.
5. Uvumilivu siyo kusubiria. Ni uwezo wa kutoruhusu hisia ziharibu maamuzi.
6. Si kila vita ni ya kupigana. Kuna muda kukaa kimya au kujizuia ni ushindi. kwani kuna vita utashinda bado umepoteza muda na nguvu.
7. Huwezi kubadilisha usichokijua. Kila kitu kinaanza na “Awareness”. Hatari zaidi ni kutojua usichokijua.
8. Kuanza au kuanzisha tena kitu siyo ishu. Ishu ni kushikilia mpaka mwisho. Wengi huishia njiani pale wanapokaribia KUTOBOA.
9 (a). Muda mwingine ubora wa mamumizi hupimwa kwa mchakato unaotumika na siyo kwa matokeo yanayopatikana.
9 (b). Life is full of randomness. Kuna muda unaweza kufanya maamuzi unayodhani ni sahihi maisha yakaku-suprise na matokeo kinyume na matarajio.
9 (c). Kama mchakato ulizangatia viashiria vyote vya msingi wakati wa maamuzi, basi hupaswi kujutia matokeo yanapokuwa kinyume.
10. Kupata na kukosa ni kurasa zinazopokezana katika kitabu ‘Maisha.’ Na yote utayapitia ili stori yako iwe complete.
11. Haufanikiwi kwa kufanya vitu fulani. Unafanikiwa kwa kufanya vitu katika namna fulani.
12. Progress ni bora kuliko PERFECTION. Kila mwanzo katika jambo lolote ina mapunfu. Fanya huku ukiboresha.
13. Katika uongozi; mafanikio siyo tu kile kinachofanyika ukiwepo; bali kile kinachoendelea kufanyika wakati haupo.
14. Usi-judge watu kabla hujawasikiliza au based one sided story. Na kama huwezi kusaidia usi-judge.
15. Utalipwa kulingana na na THAMANI yako. Utatambuliwa kutokana na REPUTATION yako. Utakumbukwa kutokana na CHARACTER yako. Utaenziwa kulingana na IMPACT/mchango wako. Na hiyo ndiyo LEGACY.
Happy birthday to me🙏.
Asanteni kwa wishes zenu in advance.
EFM.
The Secret kinafundisha kwamba akili huanza kuona fursa pale unapokuwa na picha iliyo wazi ya kile unachotaka.
Ikiwa huna picha ya wazi ya unachotaka, akili yako haina mwelekeo maalumu wa kutafuta fursa au kile unachotaka .Unaweza kuwa unapita karibu na fursa nyingi bila kuzitambua kwa sababu hujui hasa unachotafuta.
Kwa mfano
Ukisema nataka kuwa tajiri hilo hii ni picha isiyo wazi kwa kuwa utajiri uko wa aina nyingi.
Au Ukisema nataka kujenga biashara ya kuuza magari 10 kwa kila mwezi ndani ya mwaka mmoja, akili inaanza kutambua taarifa, watu, mbinu na fursa zinazohusiana na lengo hilo.
The secret hardcover
Tzs 25,000
Picture this.
Una umri wa miaka 25 tu.
Such a great talent in the continent.
Unaishi kwenye apartment nzuri pale Cape Town, mji ambao mamilioni ya watalii huota kuutembelea.
Thread: 🧵