Nchi hii, iko kwenye matatizo makubwa mno.
Hawa wanaoitwa polisi ni ngumu kuelewa ni wakati gani wao wanakua polisi au ni wakati gani wanaweza kugeuka na kuwa watekaji.
Magari yanayotumiwa na polisi au vyombo vya dola wakati yana namba ambazo sio za kwenye magari hayo!!
Unawezaje kujua kama hayo magari ni ya majambazi au watekaji na ni wakati gani yanageuka kuwa ya polisi?
Nchi hii inazidi kuharibika na itahitaji nguvu kubwa mno kuirekebisha.
Inabidi wakubali kuwa Tundu Lissu is the GOAT - Greatest Of All Time inapokuja kwenye ishu ya sheria na rule of law!
Mafomfofelia wasitusumbue 🚮
Mwachieni LISSU mara moja
#FreeTunduLissuNow#FreeTunduLissu
@MariaSTsehai@TagAyie CCM Ndio wametuletea Mafomfofelia na Matapeli Ikulu na kwenye Offisi Zetu za Umma! Tutarudisha Hadhi ya nchi yetu na Kurekebisha mifumo Yote . We need credible, honest and intellectual people to lead our country
@swahilitimes Mbona Tulishasambaratika siku nyiiingi! Wewe Ndio Unastuka Sasa hivi? Aisee ccm ONDOKENI hatuwataki tena ! Mmeua Watu , Mmeuza nchi , Mmeshindwa Kutoa Katiba Mpya. Acheni Watu wengine Watuongoze. CCM ONDOKENI HATUWATAKi
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Afrika Kusini EFF Julius Malema amevishukia vyama tawala barani Afrika vilivyohusika na vuguvugu la uhuru ikiwemo CCM, ZANU-PF, SWAPO, FRELIMO na ANC kuwa kitakachowamaliza ni kifo cha asili ambacho hakikwepeki kwani havitaweza kujivua gamba ili kuendeleza ajenda ya ukombozi.
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Afrika Kusini EFF Julius Malema amevishukia vyama tawala barani Afrika vilivyohusika na vuguvugu la uhuru ikiwemo CCM, ZANU-PF, SWAPO, FRELIMO na ANC kuwa kitakachowamaliza ni kifo cha asili ambacho hakikwepeki kwani havitaweza kujivua gamba ili kuendeleza ajenda ya ukombozi.
Hii gari inabidi wananchi wafanye citizen arrest
Ipo kisheria hii!
Yaani wananchi kisheria wana mamlaka kukamata watuhumiwa wa uhalifu na kuwadhibiti
Tusicheke na watekaji!
Tujue ni akina nani humu tunaweza kuja kukomboa ndugu zetu waliotekwa through this!
#TutaelewanaTu
@MariaSTsehai Trust me Hapo kuna Project Zuia Maria Matapeli Wanapiga Hela , au Overtime shift Kazini ,Yaani Mtu kaja na Wazo Kuzuia Poat za X za maria! Aisee 🤣
Nawakumbusha madhulmat: Sept 10,2026 ndo deadline ya Commonwealth kufungulia mitandao yote nchi na kuacha kutunyanyasa kama mi akaunti yangu mmezuia Tanzania
Sisi tupo hapa tunafanya M&E na kuwasaidia Jumuiya ya Madola
Mjipange maana consequences si lelemama
Eti mnafungia kisa Abduli ndo mnataka nchi iingie matatizoni!?
Mna akili ninyi watanganyika? Mnamwogopa Abdul?
Be serious people!
Eniwei #TutaelewanaTu