Kama mimi ningekua na wazo la kuanzisha biashara mfano mwezi wa sita, na sina bidhaa zozote…
Kuanzia leo ningefungua account za biashara hiyo. Ningejenga audience yangu polepole kwa kuweka valuable na educational content huku nikishare safari yangu ya biashara ili kujenga trust na authority.
Nikianza kuuza bidhaa zangu, tayari nakua na wateja wanaoniamini.
Jinsi ya ku-implement hii method:
▪️Tengeneza account za biashara kwenye social media (Instagram, TikTok, Facebook, X).
▪️Chagua niche inayohusiana na biashara yako (mfano: home decor ).
▪️Unda content calendar kwa consistency ya post zako.
▪️Weka content ya thamani kama tips, tutorials, na inspiration zinazohusiana na niche yako.
▪️Tumia picha na video za ubora wa juu.
▪️Jibu maswali na comments kwa haraka na kwa uaminifu.
Kama una struggle kupata wateja wa bishara yako au Kuanzisha, Kukuza na kusimamia social media account zako.. Nimekuandalia course hapa..
https://t.co/swriaMod4f
Kutuma 2m kutoka bank x kwenda mobile money ni expensive zaidi (Fees 11,500) kuliko kutuma hela yako from bank x to selcom pesa to mobile money. (Fees 3,400).. Jamaa wapo poa 🙌🏽
usikae kinyonge 🔥🔥
Nimekuletea group la WhatsApp la bure kabisa , huku utapata odds za uhakika
Odds 5+
Odds 10
Odds 20
Join group kwa link hii bure 👇
https://t.co/DCSjGQQr7B
NB: Mikeka yote ni bure kwenye group hili ✅️