@AllenJezzy@47kasz@ThomzJoseph Euro 2012 last group game vs uholanzi tena yenye watu won 2-1 qualified for qf won against czechia lost to spain on penalties kwenye semi final ambao walikuja kubeba kikombe man has been carrying hiyo country for years
@pierre9166@INFLUENCERjr ๐๐๐tunalia au tunawakumbusha hatukubeba epl 3 peat na champions league 3 peat kuja kufananishwa na Andunje bhan tupo mbali sana
@N37231Grace@bonifacejoseph_ ๐๐๐oya mbona leo umeniwashia torch unaniandama kila sehemu left footed player wote vimo kama Andunje ndio uchezaji wao ule hakuna maajabu bernardo,salah,di maria na wengine hakuna maajabu hapo