Nashukuru kwa wote walio RT post zangu.... Nimefanikiwa kupata kazi hukuhuku na mtu mwenye followers 40 hiv (๐ฉโ๐ซ) hajataka nimtaje ila shukrani za dhati kwenu... Hii ni hatua ya kwanza na tunasonga mbele... Naomba retweet hii ifike kwa maboss wengine kijana nipate maisha...๐๐