Je, Umeshawahi Kuwa na Uvimbe Kwenye Mkono?, nyuma ya kiganja cha mkono?
Kitaalamu inaitwa 'GANGLION CYST / Hygroma
Nakuelezea kwa Ufupi Dalili, madhara na Tiba yake. Thread 🧵👇
@AlexSamoja Mpira ungekuwa juhudi, timu zingefocus kwenye academy zao, kwanini wachezaj wengi lakini anatajwa CR7. Kwenye maisha ukifanikiwa watu wanatafuta sababu ya kukosoa mafanikio yako
Wanangu mnanisupport sana shangazi yenu na mnanipenda pia🥰
Leo ukiwa karibu na mitaaa hii pitia hapa ule msosi buree kabisa
Nna sahani tano kwaaajili yenu wanangu wa X🥰
Happy Birthday Shangazi..Karibuni sana🫂
#TajiriLaKihaya
Ndio Nipo nahakiki Budget ya Birthday Party Usiku wa leo,nimkabidhi secretary rasmi…
Unachotakiwa kufanya kama upo Dar… weka Notification ON…
Wapwa watafurahi…
TAJIRI LA KIHAYA NI MMOJA TU💯
Happy Birthday to me Tinamamantilie mgaa na upwa🤌
Toka miaka 20 napambana🥱
37 imenikuta Bado napambana Mungu ni mwema🙏🥰
Nna mengi ya kushuhudia lkn kikubwa Mungu ni mwema wakati wote.
Mungu ana baki kuwa Mungu hata km hakujibu kile tulichomuomba🙏