siku tanzania ikabdilisha mfumo wa kupata viongozi, alaf mahakama ikawa huru, mkapata katiba mpya, nchi ya ahadi itaanzia hapo hapo! ila kama bado mtakuwa mnawatoa watu kwenye mitaro ya maji machafu na kuwapa utukufu mtaendelea kuseka mpk kizaz cha mwisho
Jana Bongo Zozo alikutana na @davidmcallister ambe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje wa @Europarl_EN walizungunza kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo issue ya Mhe. Lissu pamoja na Ukiukwaji wa Haki za Binadamu ambao Nduli Idd Amin Mama alifanya Oktoba 29.
Tunakaba kila kona
Huu ujumbe hata mi niliupata wiki 2 zilizopita ๐๐ฝ aisee!
Mungu atajibu soon! Ametupitisha kwenye tanuru la moto ila tumeshinda! Tupambane!
Yoeli 2:25
โNitawarudishia miaka ile iliyoliwa na nzige, kila kitu kilicholiwa na tunutu, parare na matumatu, hilo jeshi kubwa nililowaleteaโ
Askari wa jeshi la polisi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, Ndiyo vitakuwa vyombo pekee vitakavyokuwa Barabara kwa ajili ya "KAZI MAALUMU".
Kisha mkazima mtandao kwa zaidi ya wiki nzima....Kilicho fuata, Mungu tu Ndiyo anajua....MAUAJI YA KUTISHA, Vijana wetu wakauawa.
Kuna ndoto kila siku inanijia Ila nakuwa sana nateseka isinirudie rudie
Imenionesha kiongozi mkubwa wa nchi yaan Rais nimeota anafariki kabla ya Mwaka 2028,
Dear Augustino Lissu, stay stronger and thank you for showing up to demand your fatherโs liberty. SC Tundu Lissu is extremely proud of you. Stay vigilant & unbowed, son. Wear that AURA and walk his talk, young๐!
โUtawala bora si kuhusu nani anashika madaraka. Utawala bora ni kuhakikisha kwamba madaraka yanadhibitiwa na sheria, yanawajibika kwa wananchi, na yanatumika kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.โ
Na huu ndio mtazamo wangu tangu mwanzo, nchi inapaswa kuwa under constant public pressure mpaka pale haki itakapopatikana.
We cannot afford to normalize injustice.
Asante dada @mangekimambi
Kwa unyama aliofanya @SuluhuSamia
na genge lake dhidi ya Tanzania, taratibu #tutaelewana tu!
Leo kamati mbili za Bunge la Ulaya zimekaa kwa pamoja na kuazimia kwa kura kibano dhidi ya #Tanzania.
Thanks @davidmcallister for standing firm on this !
#BREAKING: PIGO KUBWA KWA TANZANIA BAADA YA BUNGE LA ULAYA KUPITISHA HOJA YA KUVUNJA MSAADA WA MAENDELEO
Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo za Umoja wa Ulaya zimepitisha hoja itakayolazimisha Bunge la Ulaya kupitia Kamati ya Maendeleo kuondoa Mpango wa Kila Mwaka wa Maendeleo kwa Tanzania, hatua inayotafsiriwa kama hasara kubwa kwa taifa.
Tazama ZAIDI: https://t.co/JZztJmSLlA
Hello @CRDBBankPlc kuna mfanyakazi wenu tawi la lumumba kariakoo anaitwa Miriam anakaa table 15 I think she's the best ever ana huduma nzuri sana please mpeni hata tuzo ya mfanyakazi bora wa mwezi she's the best