Tumeona UDHAIFU wa MFUMO wa CCM wakati wa uRais wa Magufuli. Checks and balances zilikufa zote. Demokrasia na HAKI za Binadamu zikauliwa kwa maksudi. Tunadhani Samia Suluhu pekee ndio atabandilisha MFUMO bila ya shindikizo la wananchi? NEVER!
Rais SSH anateswa na kivuli cha JPM. JPM & CCM mlitaabisha sana Taifa. Rais anaendelea kujisifu kuwa sehemu ya utesi huu. Hajutii. Bila kukiri & kutubu ni ubatili. Bunge haramu nalo giza! Rais kachagua kutafuta suluhu ya CCM siyo Taifa. Kazi bado ipo. Tusibweteke. Muda uongee!